Unafiki mkubwa wa baadhi ya watanzania

Ondoa upumbavu wako hapa. Kwenye Kiswahili hakuna neno "RADHA" bali kuna neno LADHA. Kama huwezi kutofautisha "R" na "L" huwezi kuwa na akili ya kuleta mada JF yenye mashiko
 
Nini kimetokea sioni kitu mkuu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Kidampa hatimaye ushapata WiFi ya bure ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Wewe una sura baya na body yako mbaya umebongeka hata gym imegoma mi sikutaki paka mkorogo labda wengine watahamasika ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ
 
Uzi wako nadhani ulidhamiria kutoa ujumbe namba 2 izo nyingine ulikuwa unazuga.
Ila kweli Radio station zooteee, wasani woteee Eti ni wana FISIEM Wabongo unafiki wao ni wa level ya juu mno yote hayo ni Njaa kali mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ