Unafiki na Ukweli wa Posho Bunge Jipya la Katiba Sisi ni Wanafiki Mno!!

Unafiki na Ukweli wa Posho Bunge Jipya la Katiba Sisi ni Wanafiki Mno!!

Le Mutus for the first I do salute you brother good your now onthe on the right track

- Thanks bro ila to set the record straight ni kwamba I am always sober siendi kwa kufikiriwa na wengine, I always speak my mind bila kuogopa mtu wala Chama CCM ni chama changu lakini wakiwa sawa wapo sawa lakini wakikosea wamekosea ila this one siamini kuwa ni lao peke yao ni la wote, otherwise Taifa kwanza jamani!!

Le Mutuz
 
Sioni namna ya kutomhusisha mkuu wa kaya kwenye ishu.Yeye kama mkuu wa nchi,na aliyewateua hao wajumbe anapaswa kutoa kauli kumaliza hili.Pia kama budget ilishapangwa hvyo hiyo ya ziada itatoka wapi?
 
.... Kama unamuondoa Rais ambaye ndiye mkuu wa serikali (ni kweli hawezi kusimamia kila kitu) sawa, lakini kuna watu ambao amewapa mamlaka ya kusimamia vitu hivi hivyo hao ndio wa kulaumiwa kama mambo yanaenda kombo na si kamati ya Bunge.

Hapo kwenye red; vyombo vilivyo chini ya Rais vikishindwa kutimiza majukumu yake, kuanzia kile cha chini kabisa (inaweza kuwa mimi na wewe) lawama hizi zina cascade hadi juu kabisa kwa Rais na situation iliyopo sasa ipo kwa Rais mwenyewe.

Wananchi wangependa kuona msimamo wa Rais ni upi na sio mazingaombwe ya kuunda sijui kamati za kuchunguza uhalali wa posho. Na wananchi tunayepaswa kumlaumu ni Rais kwa sababu ndiye tuliyemchagua na sio hizo kamati viini macho.
 
Kuna thread moja ilikuja humu JF inahusu mambo ya hizo posho. Mimi nikasema kwa Tanzania sasa hivi kila kitu ni fursa kuanzia Tume, Kamati mbalimbali hadi Bunge la Katiba. Watu wanaona fursa na kuzichukua kisha wanasema twenzetu!!

Hii ya Bunge la Katiba nayo ni fursa katika kuondoa na kupambana na umasikini ndio maana unakuta mtu kaenda na mke wake.

Kama serikali ingesema wananchi wajitolee kwenda Dodoma kwa gharama zao na kushiriki kwenye Bunge la Katiba sijui ni wangapi wangeenda.

Tunakoelekea kwa kuwa mchakato huu ni posho posho posho posho kuanzia Tume hadi bunge la Katiba basi na siku ya kupiga kura ya maoni nasi tutataka tupewe posho ili tupige kura ya kuamua juu ya katiba. Kama tume imelipwa mabilioni, Bunge nalo linadai mabilioni nasi wananchi ambao ndio tutakaopitisha hiyo Katiba si tutadai mabilioni pia?
 
Wanaodai posho iongezwe wapi sawa kabisaa kwa sababu wanaona wenzao wanakula pesa nyingi na kazi wanayofanya haieleweki na huu ni mfano tu kwenye hii katiba je kwenye mbuga,bandarini,madini,jeshini hali si ndo mara mbili?
 
Hapo kwenye red; vyombo vilivyo chini ya Rais vikishindwa kutimiza majukumu yake, kuanzia kile cha chini kabisa (inaweza kuwa mimi na wewe) lawama hizi zina cascade hadi juu kabisa kwa Rais na situation iliyopo sasa ipo kwa Rais mwenyewe.

Wananchi wangependa kuona msimamo wa Rais ni upi na sio mazingaombwe ya kuunda sijui kamati za kuchunguza uhalali wa posho. Na wananchi tunayepaswa kumlaumu ni Rais kwa sababu ndiye tuliyemchagua na sio hizo kamati viini macho.

Mkuu naona tupo pamoja.

Hapa ninaposema si Kamati ya Bunge na kusema kuna vyombo ambavyo Rais amevipa madaraka nina maana ya Serikali (Rais, Mawaziri na watendaji wengine) na mkuu wa Serikali ni Rais. Kama ulivyosema sasa ni vyema tukasikia toka kwa Rais mwenyewe katika kofia zake mbili yaani Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Dola.

Na uzuri ni kwamba, sisi, yaani sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, mamlaka na madaraka hayo, na uwezo wa kufanya yote hayo, tulimpa, sio mwingine, bali Jakaya Mrisho Kikwete. Na hakuna mwingine yeyote wa kuyatwaa, sio Bunge, Tume, wala Kamati yoyote; bali sisi wananchi.

Sasa kwa uwezo wote huu na mamlaka yote hayo tuliyompa, Rais anashikwa na kigugumizi gani kumaliza hii kadhia ya posho? Neno lake moja tu, kwa niaba yetu wananchi, linatosha kumaliza ujinga huu! Rais na aseme tumsikie.
 
Wanaodai posho iongezwe wapi sawa kabisaa kwa sababu wanaona wenzao wanakula pesa nyingi na kazi wanayofanya haieleweki na huu ni mfano tu kwenye hii katiba je kwenye mbuga,bandarini,madini,jeshini hali si ndo mara mbili?
 
Mkuu bora umeliona hilo ila sidhani kama utakubalika ndani ya Chama chako.

Nikikumbuka filamu ya Kinana na Mawaziri mizigo ilivyoishia, naona ni kazi ya ccm kucheza na akili za wananchi.!
 
Kumbe MaCCM sometimes huwa zinafanyaga kazi, Lemutuz umeliona hili, basi kilanja mkuu akomae nao kama hawataki warudi au hata wakibaki wachache poa tu, kuliko unafiki huu.
 
Kaka acha kuzunguuka kimaelezo,inchi hii inaongozwa na CCM kwahiyo kila jema au baya linalotokea nchi hii ni matokeo ya uongozi wa CCM unatenganishaje??????wajumbe wa mitaa wengi ni CCM,madiwani wengi ni CCM,halmashauri nyingi niza CCM,wabunge wa jamhuri na hili la sasa wengi ni wa CCM, Polisi,Mahakama na Jeshi wanateuliwa na M/kiti wa CCM (Rais) kwahiyo maamuzi ya kila sehemu muhusika mkuu ni CCM hata kama umekunywa maji ya bendera huo ndo ukweli.
 
Wewe umeona hizo tu, waulizie hao unaokutana nao wakuambie pesa za EPA, Deep Green, Meremeta, wakwambie na Richmond saga. Usiishie kwenye posho za Bunge. Fuatilia na zile special accounts kwa ajili ya kuua upinzani na ku inject traitors kwenye opposition party.

Ukiweza pia pata picha ya how much safari za wakuu wetu nje ya nchi zime cost kiasi gani. Kwa vile wewe ni kada, piga ua jitahidi sana kuwashauri hao jamaa zenu kwamba with all the scandles and setbacks let them make sure that they come up with the people Centered New constitution for them to remain with a Living Legacy. Other wise let them prepare for History to Judge the Wrong.

Sometimes you come out as a nationalists but sometimes you are swayed aware with waves of CCM's political propaganda and useless Ideological statements. Tanzania is for us all,

I am sure you have read Mwalimu Nyerere's book "Uongozi wetu na Hatma ya Tanzania"
 
Kama ulikuwepo pale dodoma;

(i) Ni ugumu gani ulikupata kwenda makao makuu ya chama kwenda kupeleka duku-duku lako?
(ii) Je, unafahamu kwamba chama ndicho kinasimamia serikali?
(iii) Je, unafahamu kwamba wewe kama kiongozi wa chama, kuna utaratibu wa kuuliza utendaji wa serikali na sio namna hii unavyofanya wewe?

Nachoona hapa una ule-ule unafiki wenu mnauendeleza.

Nenda kaulize, then uje na majibu tuyajadili...
 
With due respect nakupongeza kwa uamuzi wako wa kupinga swala hili kwa vitendo,wa tz tumekuwa na tatizo la mda mrefu sana,kulalamika lalamika bila kuchukua hatua sitahiki mambo yanapokwenda kombo.
kila la heri brother kwenye makala zako kuhusu posho,natumaini zitakuwa na matokeo chanya.
 
Kumbe MaCCM sometimes huwa zinafanyaga kazi, Lemutuz umeliona hili, basi kilanja mkuu akomae nao kama hawataki warudi au hata wakibaki wachache poa tu, kuliko unafiki huu.
 
- Yaani Rais ashuke chini mpaka kwenye haya mambo na wakati Kamati ya Bunge ipo? Haiwezekani!!

Le Mutuz

Ni jukum na wajibu wa Rais kushughulika na wote wanaopwaya au kulegalega au kushindwa kutimiza wajibu wao.

Kukaa kimya kwa Rais maana yake yeye ni part and parcel ya yote yanayofanyika.
 
- Yaani Rais ashuke chini mpaka kwenye haya mambo na wakati Kamati ya Bunge ipo? Haiwezekani!!

Le Mutuz

Kaka Le Mutuz,

Kiongozi muadilifu haogopi kuwajibika. Yeye kama ze top anawajibika kwa madudu yote yanayotokea chini yake na ndani ya serikali aliyoiunda mwenyewe. Na kuonyesha anayajua vizuri ndiyo maana hatahoji lolote. Vinginevyo angeshataka kujua ni vipi imekuwa hivyo na ni kina nani walifanya nini.

Nikukumbushe kuwa hata yeye bosi ni mmoja wa hao wenye tabia mbaya ya kudokoa hazina ya wananchi. na ni kwa sababu hiyo ndiyo maana vibaka wanswekwa rumande na kuozea gerezani, kuna wengine wamebambikiwa kesi za uongo tu na hilo linajulikana, Lakini kuna wezi walikwapua fedha nene BOT na wanajulikana kwa majina ila kwa amri ya huyo unayemtetea , waliambiwa warudishe tu wata-walk free! Hiyo ndiyo nini?

Naona hatutaelewana kabisa kama topic itakuwa ufisadi na watuhumiwa wakiwa serikali iliyoundwa chini ya chama chako. Wapendwa mna uzoefu. Na ni vigumu mimi kuamini kuna aliye salama humo.
 
Back
Top Bottom