Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeye ndo muamuzi wa mwisho, hivyo lazima aone mantiki ya kile anachoshauriwa ili akibariki au akatae vyenginevyo itakuwa hakuna haja ya yeye kuwepo katika nafasi hiyo kama kila kitu anachoshauriwa anafata tu bila kuhoji.- Yaani Rais ashuke chini mpaka kwenye haya mambo na wakati Kamati ya Bunge ipo? Haiwezekani!!
Le Mutuz
Hapa wapinzani wameingizwa mkenge ili wachafuke pamoja na chama tawala. Kama watu wanalalama kuwa laki 3 wanazolipwa bado ni nyingi na wapinzani wamechelewa kupinga hiyo laki 3 wakiashiria ni sahihi. Watakuja kuwambia wananchi kuwa wanauchungu na nji hii kweli? Wameshapoteza credibility ya kutetea wanyonge, ccm walisha chafuka jamii kubwa inajua hilo hivyo imewakumbatia wapinzani ili tope la ccm libaki kwenye nguo za wapinzani kupitia posho za laki 3 kwa siku. Wajue kwamba ccm licha ya uchafu bado inawafuasi wengi hasa vijijini, wapinzani walitakiwa kujibehave vyema maana wako kwenye matazamio kwa sasa. Kulilia posho au kukalia kimya posho ya laki 3 kwa siku wakati wanachuo wa saint John na Udom wakipewa posho ya 7500 kwa siku na wanaishi Dodoma mjini ambapo ndipo bunge lipo ni kuwadharau watanzania. Mimi naona watanzania tuache ushabiki wa kisiasa ifike mahala tukosoe chama chochote,dini yeyote au kiongozi yeyote anaekwenda kinyume na matakwa ya jamii, bila kujali itikadi zetu jamani.
[h=3][/h]
- Ukweli ni kwamba Serikali inahitaji kujiangalia upya na haya mambo kwa sababu hayatokei kwa bahati mbaya, kwa nini wananchi wanalilia posho kubwa ni kwa sababu wameona pesa za umma zinatumika hovyo hovyo bila melezo na wao sasa wanataka kuzitumia pia, I mean Tume imetumia Billioni 70 kutengeneza Rasimu, halafu zimetumika Bilioni 8.2 kukarabati Bunge kwa ajili ya kukaa chini kwa siku 70 tu, sasa kwa msururu huo wa matumizi ya ajabu namna hiyo unategmea nini kutoka kwa wananchi wa bunge la katiba si na wao wanataka kuchota laki saba kwa siku, yes kama wajumbe wa Rasimu walikuwa wanachota 647,000 kwa siku kwa nini na wao wasichote pia?
- I mean juzi usiku nikiwa Dodoma nilikutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mahesabu kwa masaa mengi nikaamuliza hizi pesa zote zimetokea wapi na ziliidhinishwa na nani matumizi yake hata yeye hakuwa na jibu la uhakika, sasa hili Taifa tunategemea nini hasa? Na huwezi kuwa na akili timamu ukasema ni kosa la Rais sasa tunataka Rais afanye kazi za Kamati ya bunge ya mahesabu?
-So nimeamua kuikata kata hii ishu vipande vipande kwenye makala yangu ya kila Jumapili kesho kwenye Gazeti la Jambo Leo.
Le Mutuz
Hapa wapinzani wameingizwa mkenge ili wachafuke pamoja na chama tawala. Kama watu wanalalama kuwa laki 3 wanazolipwa bado ni nyingi na wapinzani wamechelewa kupinga hiyo laki 3 wakiashiria ni sahihi. Watakuja kuwambia wananchi kuwa wanauchungu na nji hii kweli? Wameshapoteza credibility ya kutetea wanyonge, ccm walisha chafuka jamii kubwa inajua hilo hivyo imewakumbatia wapinzani ili tope la ccm libaki kwenye nguo za wapinzani kupitia posho za laki 3 kwa siku. Wajue kwamba ccm licha ya uchafu bado inawafuasi wengi hasa vijijini, wapinzani walitakiwa kujibehave vyema maana wako kwenye matazamio kwa sasa. Kulilia posho au kukalia kimya posho ya laki 3 kwa siku wakati wanachuo wa saint John na Udom wakipewa posho ya 7500 kwa siku na wanaishi Dodoma mjini ambapo ndipo bunge lipo ni kuwadharau watanzania. Mimi naona watanzania tuache ushabiki wa kisiasa ifike mahala tukosoe chama chochote,dini yeyote au kiongozi yeyote anaekwenda kinyume na matakwa ya jamii, bila kujali itikadi zetu jamani.
Kwahyo unataka watu zaidi ya 90 kila mmoja aje hapa JF aseme mimi fulani napinga kuongezwa posho, Please hebu tuacheni kujadili kama vile tunalazimishwa