William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #21
Le Mutus for the first I do salute you brother good your now onthe on the right track
.... Kama unamuondoa Rais ambaye ndiye mkuu wa serikali (ni kweli hawezi kusimamia kila kitu) sawa, lakini kuna watu ambao amewapa mamlaka ya kusimamia vitu hivi hivyo hao ndio wa kulaumiwa kama mambo yanaenda kombo na si kamati ya Bunge.
Hapo kwenye red; vyombo vilivyo chini ya Rais vikishindwa kutimiza majukumu yake, kuanzia kile cha chini kabisa (inaweza kuwa mimi na wewe) lawama hizi zina cascade hadi juu kabisa kwa Rais na situation iliyopo sasa ipo kwa Rais mwenyewe.
Wananchi wangependa kuona msimamo wa Rais ni upi na sio mazingaombwe ya kuunda sijui kamati za kuchunguza uhalali wa posho. Na wananchi tunayepaswa kumlaumu ni Rais kwa sababu ndiye tuliyemchagua na sio hizo kamati viini macho.
Mkuu naona tupo pamoja.
Hapa ninaposema si Kamati ya Bunge na kusema kuna vyombo ambavyo Rais amevipa madaraka nina maana ya Serikali (Rais, Mawaziri na watendaji wengine) na mkuu wa Serikali ni Rais. Kama ulivyosema sasa ni vyema tukasikia toka kwa Rais mwenyewe katika kofia zake mbili yaani Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Dola.
- Yaani Rais ashuke chini mpaka kwenye haya mambo na wakati Kamati ya Bunge ipo? Haiwezekani!!
Le Mutuz
- Yaani Rais ashuke chini mpaka kwenye haya mambo na wakati Kamati ya Bunge ipo? Haiwezekani!!
Le Mutuz