sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmekuelewa vyema SAMATA akiitaka mechi muogopeAnayepinga Hilo ni chizi pekee, vijana wa Sasa wanaosakata kabumbu wana cha kujifunza. Samatta ilikuwa akiamua acheze Kwa moyo mkunjufu matokeo yanapatikana, ni ngumu kupata kama yeye hapa nchini, ni sawa na kusema kidunia ni ngumu kupata mtu kama Messi au Ronaldo De Lima (R9) nk.
Una mihemko wala hujui chochote, Unaongelea bahati ya mafanikio ya Samatta ila sio kucheza mpira!.Wewe utakuwa mwehu ngasa na msuva ata ukiwajumlisha Hawamfikii mbwana
Msuva mguuni hana mali, anachoweza ni riadha tu.I nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
Ameweka historia gani hapo EPLSamaGoal kina Grealish walimfanyia tu figisu kule Aston Villa ila angalau aliweka historia EPL😏
Huyo Ngasa alikosa nyota sio ?I nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
Wewe utakua mtoto wa buku bee nenda DRC halafu ongea haya maneno kama hujakatwa kichwa mchana kweupeI nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
Wewe utakuwa utopolo tu.Hivi uliwahi hata kumuona Samatta akikichafua pale simba kabla hajaenda Mazembe au zile mechi 2 za caf simba dhidi ya mazembe . Kutokana na mafanikio yake ndio maana anatajwa ni bora na sio kutokana na nyota maana tukifuata nyota basi hata wewe ambae hujui kupiga hata danadana ni bora kuliko Ngasa na msuva ila umekosa tu nyota.I nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
Sijawahi kuwaelewa watanzania kuhusu Haruna Moshi na Ajibu kuwaona ni wachezaji bora.Nakumbuka hii game, hili goli nilikuwepo uwanjani natizama hii game, nikamwambia jamaa yangu kweli alistahili kuwagomea simba mpaka wampe hilo gari lake...
Binafsi nilimpenda sana hruna moshi boban fundi, fundi kweli kweli, lakini hakuwa anajitambua, hakukijua kile kilichomo miguuni mwake kina thamani kubwa kiasi gani.
Miguu yake ilikuwa inatafsiri na kutenda kile kilichomo ubongoni mwake kwa haraka sana.
Naimani alipo anajijutia.