Unafiki sio jadi yangu Samatta Mbwana ndiyo best football player ever in Tanzania history na huenda asijekutokea kama yeye

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Ana mataji kadhaa ya champion league Africa CAF

TUZO YA MCHEZAJI BORA WA NDANI AFRICA

Mfungaji Bora wa CAF

Kucheza team kadhaa ulaya

Best in scoring,dribling skill , shooting nk

Hakika uyu mtu tumsifie kabla hajafariki

Kipaji haswa
 
Attachments

  • tweeload_a6cdc916.mp4
    1.4 MB
Nakumbuka hii game, hili goli nilikuwepo uwanjani natizama hii game, nikamwambia jamaa yangu kweli alistahili kuwagomea simba mpaka wampe hilo gari lake...

Binafsi nilimpenda sana hruna moshi boban fundi, fundi kweli kweli, lakini hakuwa anajitambua, hakukijua kile kilichomo miguuni mwake kina thamani kubwa kiasi gani.
Miguu yake ilikuwa inatafsiri na kutenda kile kilichomo ubongoni mwake kwa haraka sana.
Naimani alipo anajijutia.
 
Anayepinga Hilo ni chizi pekee, vijana wa Sasa wanaosakata kabumbu wana cha kujifunza. Samatta ilikuwa akiamua acheze Kwa moyo mkunjufu matokeo yanapatikana, ni ngumu kupata kama yeye hapa nchini, ni sawa na kusema kidunia ni ngumu kupata mtu kama Messi au Ronaldo De Lima (R9) nk.
 
Nmekuelewa vyema SAMATA akiitaka mechi muogope
 
Kwangu mm kwa wacheza wa Kibongo nampa Feisal Salum, sababu ndio nime/namshuhudia mpaka sasa.
 
I nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
 
Wewe utakuwa mwehu ngasa na msuva ata ukiwajumlisha Hawamfikii mbwana
 
Una mihemko wala hujui chochote, Unaongelea bahati ya mafanikio ya Samatta ila sio kucheza mpira!.
 
I nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
Msuva mguuni hana mali, anachoweza ni riadha tu.

Samatta anaweza cheza kama namba 7, 8, 9, 10 na 11 kwa ufanisi wa hali ya juu mno.

Msuva hata chenga moja tu ni 50/50 kufanikiwa.

Mtu pekee ambaye alikuwa fundi haswaa alikuwa Edibily Lunyamira na Boban ila isivyo bahati hawakutoboa sana kisoka.
 
I nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
Huyo Ngasa alikosa nyota sio ?
 
I nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
Wewe utakua mtoto wa buku bee nenda DRC halafu ongea haya maneno kama hujakatwa kichwa mchana kweupe
 
I nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
Wewe utakuwa utopolo tu.Hivi uliwahi hata kumuona Samatta akikichafua pale simba kabla hajaenda Mazembe au zile mechi 2 za caf simba dhidi ya mazembe . Kutokana na mafanikio yake ndio maana anatajwa ni bora na sio kutokana na nyota maana tukifuata nyota basi hata wewe ambae hujui kupiga hata danadana ni bora kuliko Ngasa na msuva ila umekosa tu nyota.
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Nakumbuka hii game, hili goli nilikuwepo uwanjani natizama hii game, nikamwambia jamaa yangu kweli alistahili kuwagomea simba mpaka wampe hilo gari lake...

Binafsi nilimpenda sana hruna moshi boban fundi, fundi kweli kweli, lakini hakuwa anajitambua, hakukijua kile kilichomo miguuni mwake kina thamani kubwa kiasi gani.
Miguu yake ilikuwa inatafsiri na kutenda kile kilichomo ubongoni mwake kwa haraka sana.
Naimani alipo anajijutia.
Sijawahi kuwaelewa watanzania kuhusu Haruna Moshi na Ajibu kuwaona ni wachezaji bora.
 
Back
Top Bottom