Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Kwani mkiandamana nyinyi na hayo magati yenu mliyohongwa na Waarabu, si malengo yanakuwa yametimia kwa 100%!! Au roho zenu zinawauma kwa kuwakosa watu wa kuwaua, kuwatia ulemavu wa kudumu siyo! Na mwaka huu mtaandamana sana tu.Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k
Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu.
Kila mtu anaongea kama vile kanywa maji ya bendera.
Rai yangu ni kwamba kuna muda kunyamaza ni Bora zaidi kuliko kukaa kwenye PC na kuamrisha watu waandamane ikiwa wewe upo nje ya nchi au upo hapa nchini lakini huwezi kujitokeza kudai hicho unachokiita haki.
Mwenyekiti wa CDM Mh Tundu Lissu yupo ndani na Leo hii kagoma kesi isiendeshwe Kwa njia ya mtandao lakini atatoka tu.
Makamu mwenyekiti CDM Mh John Heche naye alikamatwa juzi akaachwa ,pia leo alikamatwa asubuhi lakini ataachiwa tu.
Katibu mkuu wa CDM John Mnyika naye amekamatwa asubuhi wakati akielekea huko mahakamani kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa CDM taifa.lakini ataachiwa tu,
Hawa ni watu wanajulikana na ni vigumu kusota mahabusu Kwa muda mrefu. Hao ni unaowajua.
Lakini ukweli ni kwamba selo zimejaa watoto wa masikini wanaodanganywa na kundi la watu wachache wanaoendesha harakati kinadharia huku mbwa Koko na vijana wapenda sifa wakizolewa na kuwekwa Lockup haijulikani watatoka lini.
Watanzania wenzangu tuache harakati uchwara huku wenzenu wanaumia na nyinyi mnaendelea Kula maisha mtaani.
Tuseme wajinga ndiyo waliwao
dunia nzima inakutana kwa mtandaoni lakini chedema hawataki kuskia habari ya tehama kabisa dahUkiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k
Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu.
Kila mtu anaongea kama vile kanywa maji ya bendera.
Rai yangu ni kwamba kuna muda kunyamaza ni Bora zaidi kuliko kukaa kwenye PC na kuamrisha watu waandamane ikiwa wewe upo nje ya nchi au upo hapa nchini lakini huwezi kujitokeza kudai hicho unachokiita haki.
Mwenyekiti wa CDM Mh Tundu Lissu yupo ndani na Leo hii kagoma kesi isiendeshwe Kwa njia ya mtandao lakini atatoka tu.
Makamu mwenyekiti CDM Mh John Heche naye alikamatwa juzi akaachwa ,pia leo alikamatwa asubuhi lakini ataachiwa tu.
Katibu mkuu wa CDM John Mnyika naye amekamatwa asubuhi wakati akielekea huko mahakamani kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa CDM taifa.lakini ataachiwa tu,
Hawa ni watu wanajulikana na ni vigumu kusota mahabusu Kwa muda mrefu. Hao ni unaowajua.
Lakini ukweli ni kwamba selo zimejaa watoto wa masikini wanaodanganywa na kundi la watu wachache wanaoendesha harakati kinadharia huku mbwa Koko na vijana wapenda sifa wakizolewa na kuwekwa Lockup haijulikani watatoka lini.
Watanzania wenzangu tuache harakati uchwara huku wenzenu wanaumia na nyinyi mnaendelea Kula maisha mtaani.
Tuseme wajinga ndiyo waliwao
UKIONA UNA FIKRA KAMA HIZO BASI WEWE HATA KUISHI HUKUTAKIWAUkiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k
Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu.
Kila mtu anaongea kama vile kanywa maji ya bendera.
Rai yangu ni kwamba kuna muda kunyamaza ni Bora zaidi kuliko kukaa kwenye PC na kuamrisha watu waandamane ikiwa wewe upo nje ya nchi au upo hapa nchini lakini huwezi kujitokeza kudai hicho unachokiita haki.
Mwenyekiti wa CDM Mh Tundu Lissu yupo ndani na Leo hii kagoma kesi isiendeshwe Kwa njia ya mtandao lakini atatoka tu.
Makamu mwenyekiti CDM Mh John Heche naye alikamatwa juzi akaachwa ,pia leo alikamatwa asubuhi lakini ataachiwa tu.
Katibu mkuu wa CDM John Mnyika naye amekamatwa asubuhi wakati akielekea huko mahakamani kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa CDM taifa.lakini ataachiwa tu,
Hawa ni watu wanajulikana na ni vigumu kusota mahabusu Kwa muda mrefu. Hao ni unaowajua.
Lakini ukweli ni kwamba selo zimejaa watoto wa masikini wanaodanganywa na kundi la watu wachache wanaoendesha harakati kinadharia huku mbwa Koko na vijana wapenda sifa wakizolewa na kuwekwa Lockup haijulikani watatoka lini.
Watanzania wenzangu tuache harakati uchwara huku wenzenu wanaumia na nyinyi mnaendelea Kula maisha mtaani.
Tuseme wajinga ndiyo waliwao
you have to count yourself as a dead man/woman livingUkiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k
Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu.
Kila mtu anaongea kama vile kanywa maji ya bendera.
Rai yangu ni kwamba kuna muda kunyamaza ni Bora zaidi kuliko kukaa kwenye PC na kuamrisha watu waandamane ikiwa wewe upo nje ya nchi au upo hapa nchini lakini huwezi kujitokeza kudai hicho unachokiita haki.
Mwenyekiti wa CDM Mh Tundu Lissu yupo ndani na Leo hii kagoma kesi isiendeshwe Kwa njia ya mtandao lakini atatoka tu.
Makamu mwenyekiti CDM Mh John Heche naye alikamatwa juzi akaachwa ,pia leo alikamatwa asubuhi lakini ataachiwa tu.
Katibu mkuu wa CDM John Mnyika naye amekamatwa asubuhi wakati akielekea huko mahakamani kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa CDM taifa.lakini ataachiwa tu,
Hawa ni watu wanajulikana na ni vigumu kusota mahabusu Kwa muda mrefu. Hao ni unaowajua.
Lakini ukweli ni kwamba selo zimejaa watoto wa masikini wanaodanganywa na kundi la watu wachache wanaoendesha harakati kinadharia huku mbwa Koko na vijana wapenda sifa wakizolewa na kuwekwa Lockup haijulikani watatoka lini.
Watanzania wenzangu tuache harakati uchwara huku wenzenu wanaumia na nyinyi mnaendelea Kula maisha mtaani.
Tuseme wajinga ndiyo waliwao
Mbona hujitokezi live wewe umejificha nyuma ya keyboard tu!!UKIONA UNA FIKRA KAMA HIZO BASI WEWE HATA KUISHI HUKUTAKIWA
NI KAMA MAITI
BINADAMU LAZIMA UWE NA CHANGAMOTO YA KUWA NA MSIMAMO NA MAISHA YAKO NA YA VIZAZI VIJAVYO.
SUSTAINABILITY-------------------------
Wewe baba yako au mama yako walijitokeza wakati Nyerere anapigania Uhuru??Mbona hujitokezi live wewe umejificha nyuma ya keyboard tu!!
Tatizo unadhani kila mtu ni CCMKwani mkiandamana nyinyi na hayo magati yenu mliyohongwa na Waarabu, si malengo yanakuwa yametimia kwa 100%!! Au roho zenu zinawauma kwa kuwakosa watu wa kuwaua, kuwatia ulemavu wa kudumu siyo! Na mwaka huu mtaandamana sana tu.
Leo ulitokea Kisutu au ndiyo wale waleUKIONA UNA FIKRA KAMA HIZO BASI WEWE HATA KUISHI HUKUTAKIWA
NI KAMA MAITI
BINADAMU LAZIMA UWE NA CHANGAMOTO YA KUWA NA MSIMAMO NA MAISHA YAKO NA YA VIZAZI VIJAVYO.
SUSTAINABILITY-------------------------
Wewe ni mjingaSperm zingine zilizokuwa zipigiwe punyeto hizo hapa!!.
Ndiyo maana nilisema kwa TZ bado sana ,hakuna anayeweza kuzuia uchaguzi wala kuandamana ,CDM issue ya kuzuia uchaguzi ni kupoteza muda na kuzidi kujiongezea Faliure cases za matamko.Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k
Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu.
Kila mtu anaongea kama vile kanywa maji ya bendera.
Rai yangu ni kwamba kuna muda kunyamaza ni Bora zaidi kuliko kukaa kwenye PC na kuamrisha watu waandamane ikiwa wewe upo nje ya nchi au upo hapa nchini lakini huwezi kujitokeza kudai hicho unachokiita haki.
Mwenyekiti wa CDM Mh Tundu Lissu yupo ndani na Leo hii kagoma kesi isiendeshwe Kwa njia ya mtandao lakini atatoka tu.
Makamu mwenyekiti CDM Mh John Heche naye alikamatwa juzi akaachwa ,pia leo alikamatwa asubuhi lakini ataachiwa tu.
Katibu mkuu wa CDM John Mnyika naye amekamatwa asubuhi wakati akielekea huko mahakamani kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa CDM taifa.lakini ataachiwa tu,
Hawa ni watu wanajulikana na ni vigumu kusota mahabusu Kwa muda mrefu. Hao ni unaowajua.
Lakini ukweli ni kwamba selo zimejaa watoto wa masikini wanaodanganywa na kundi la watu wachache wanaoendesha harakati kinadharia huku mbwa Koko na vijana wapenda sifa wakizolewa na kuwekwa Lockup haijulikani watatoka lini.
Watanzania wenzangu tuache harakati uchwara huku wenzenu wanaumia na nyinyi mnaendelea Kula maisha mtaani.
Tuseme wajinga ndiyo waliwao
Kama Una akili timamu, unatakiwa kuwaogopa Sana watu wa namna hii. Hujui reaction yao, hujui wanachowazaYaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu.
Kila mtu anaongea kama vile kanywa maji ya bendera.
Nakuuliza hivi wakati Nyerere anataka kufungwa na wakoloni wewe babu yako au baba yako alijitokeza kutoa zile Shillingi za faini? au kuandamana? Si John Rupia tu ndiyo alitoa?Leo ulitokea Kisutu au ndiyo wale wale
Upo sahihi...Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k
Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu.
Kila mtu anaongea kama vile kanywa maji ya bendera.
Rai yangu ni kwamba kuna muda kunyamaza ni Bora zaidi kuliko kukaa kwenye PC na kuamrisha watu waandamane ikiwa wewe upo nje ya nchi au upo hapa nchini lakini huwezi kujitokeza kudai hicho unachokiita haki.
Mwenyekiti wa CDM Mh Tundu Lissu yupo ndani na Leo hii kagoma kesi isiendeshwe Kwa njia ya mtandao lakini atatoka tu.
Makamu mwenyekiti CDM Mh John Heche naye alikamatwa juzi akaachwa ,pia leo alikamatwa asubuhi lakini ataachiwa tu.
Katibu mkuu wa CDM John Mnyika naye amekamatwa asubuhi wakati akielekea huko mahakamani kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa CDM taifa.lakini ataachiwa tu,
Hawa ni watu wanajulikana na ni vigumu kusota mahabusu Kwa muda mrefu. Hao ni unaowajua.
Lakini ukweli ni kwamba selo zimejaa watoto wa masikini wanaodanganywa na kundi la watu wachache wanaoendesha harakati kinadharia huku mbwa Koko na vijana wapenda sifa wakizolewa na kuwekwa Lockup haijulikani watatoka lini.
Watanzania wenzangu tuache harakati uchwara huku wenzenu wanaumia na nyinyi mnaendelea Kula maisha mtaani.
Tuseme wajinga ndiyo waliwao
Hizi ndio fikra za kiuaji za chademaUKIONA UNA FIKRA KAMA HIZO BASI WEWE HATA KUISHI HUKUTAKIWA
NI KAMA MAITI
BINADAMU LAZIMA UWE NA CHANGAMOTO YA KUWA NA MSIMAMO NA MAISHA YAKO NA YA VIZAZI VIJAVYO.
SUSTAINABILITY-------------------------
Kuna mtu wanasema amekufa familia ndio imepoteza mtu chadema haina fidia ya kumlipa zaidi ya kununua ubwabwa na kuvaa magwanda..kuna watu wamevunjwa miguu wajue shughuli ndio zimevunjika kwa upuuzi tu..UKIONA UNA FIKRA KAMA HIZO BASI WEWE HATA KUISHI HUKUTAKIWA