Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
- Thread starter
-
- #21
Umenielewa vizuri sanaSahihi kabisa, ukipita mitandaoni unaweza kudhani Kisutu imejaa malaki ya watu, na pengine Lissu alitaka aje ili wamlaki.
Lahaula kumbe ni mtu mmoja JF ana akaunti kumi, anaandika na kujijibu, insta na twitter ana akaunti 10.sasa jichanganye udanganywe na mtu anayepost amelala kwa shemeji wewe ujipeleke Kisutu
Tatizo watu tunafuata mkumbo bila kufikiri mara mbiliKuna mtu wanasema amekufa familia ndio imepoteza mtu chadema haina fidia ya kumlipa zaidi ya kununua ubwabwa na kuvaa magwanda..kuna watu wamevunjwa miguu wajue shughuli ndio zimevunjika kwa upuuzi tu..
Hatari sana...Tatizo watu tunafuata mkumbo bila kufikiri mara mbili
Sawa tuseme Mimi ni msaliti,.Nakuuliza hivi wakati Nyerere anataka kufungwa na wakoloni wewe babu yako au baba yako alijitokeza kutoa zile Shillingi za faini? au kuandamana? Si John Rupia tu ndiyo alitoa?
Mashujaa wote huwa wanapigana wenyewe na watu kama nyie wasaliti mpo sana, tangu zama za enzi.
despotHizi ndio fikra za kiuaji za chadema
wako wangekupiga nyeto .....ng'ombe ww.Wewe ni mjinga
😂Sperm zingine zilizokuwa zipigiwe punyeto hizo hapa!!.
Tatizo unadhani unanijua Sana kupitia threads za pombe na wanawake.Bro we endelea kutoa stori zako za wanawake na pombe!! Uhuru wa kweli huletwa na kikundi cha watu wachache baadae nchi nzima .
Uzuri wazazi wangu walipanga kabisa kuzaa mtoto za kiume,yaani wakijadiliana na kukubaliana Mungu akatia wepesi miaka zaidi mingi iliyopita nikazaliwa,Wazazi
wako wangekupiga nyeto .....ng'ombe ww.
Hujui? Kwa nini sasa kila siku mnashambulia watu? Simngekaa kimya? Sisi ndiyo tunahamasisha watu, na vilevile watoaji wa Strategy, wewe kula ulale. Maana ni mfu. Sisi tunaangalia miaka ya Watoto wetu na wajukuu. Sisi hatutaki kumpa mali asili muarabu, wala mchina. Sisi tunataka Watoto wetu na vizazi vijavyo vya Tanzania visiwe na taabu.Sawa tuseme Mimi ni msaliti,.
Je wewe umefanya nini Kwa CDM hadi muda huu unatype hapa
Wewe mie nakujua, nakuoneaga huruma sana, pumzikaHatari sana...
Kama unadai rasilimali za taifa Kwa kujificha nyuma ya keyboard sasa utapataje.Hujui? Kwa nini sasa kila siku mnashambulia watu? Simngekaa kimya? Sisi ndiyo tunahamasisha watu, na vilevile watoaji wa Strategy, wewe kula ulale. Maana ni mfu. Sisi tunaangalia miaka ya Watoto wetu na wajukuu. Sisi hatutaki kumpa mali asili muarabu, wala mchina. Sisi tunataka Watoto wetu na vizazi vijavyo vya Tanzania visiwe na taabu.
Nyie mmeridhika, na hiyo ndiyo laana yenu. Kama Lisu angekuwa kama nyie ange-join na kula nao, lakini amekataa. He will not in his life sell "Mother Country Tanzania"- that is why now he is in prison!!!!!!!!!!
Kama siyo ccm basi utakuwa ni policcm.Tatizo unadhani kila mtu ni CCM
Unajua Lema leo yupo wapi?Kama unadai rasilimali za taifa Kwa kujificha nyuma ya keyboard sasa utapataje.
Ungana na wenzako hadharani ,nenda kashitaki mahakamani mpatiwe hizo reforms
😃😂We ng'ombe wa SAMIA kabisa... Akili finyu kama hizi ziwe zimefanya jambo Taifa ? , Au nyie ng'ombe wa samia mna Taifa lenu sisi hatujui?.Uzuri wazazi wangu walipanga kabisa kuzaa mtoto za kiume,yaani wakijadiliana na kukubaliana Mungu akatia wepesi miaka zaidi mingi iliyopita nikazaliwa,
Taifa linanijua na nimelifanyia mengi ya kutosha sasa ask yourself nini umefanya kwenye hii Dunia.
Wewe ndiyo uchwara wenyewe, huna akili.Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k
Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu.
Kila mtu anaongea kama vile kanywa maji ya bendera.
Rai yangu ni kwamba kuna muda kunyamaza ni Bora zaidi kuliko kukaa kwenye PC na kuamrisha watu waandamane ikiwa wewe upo nje ya nchi au upo hapa nchini lakini huwezi kujitokeza kudai hicho unachokiita haki.
Mwenyekiti wa CDM Mh Tundu Lissu yupo ndani na Leo hii kagoma kesi isiendeshwe Kwa njia ya mtandao lakini atatoka tu.
Makamu mwenyekiti CDM Mh John Heche naye alikamatwa juzi akaachwa ,pia leo alikamatwa asubuhi lakini ataachiwa tu.
Katibu mkuu wa CDM John Mnyika naye amekamatwa asubuhi wakati akielekea huko mahakamani kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa CDM taifa.lakini ataachiwa tu,
Hawa ni watu wanajulikana na ni vigumu kusota mahabusu Kwa muda mrefu. Hao ni unaowajua.
Lakini ukweli ni kwamba selo zimejaa watoto wa masikini wanaodanganywa na kundi la watu wachache wanaoendesha harakati kinadharia huku mbwa Koko na vijana wapenda sifa wakizolewa na kuwekwa Lockup haijulikani watatoka lini.
Watanzania wenzangu tuache harakati uchwara huku wenzenu wanaumia na nyinyi mnaendelea Kula maisha mtaani.
Tuseme wajinga ndiyo waliwao
Kama ambavyo unadai mi skujui na wew vile vile hunijui!….Tatizo unadhani unanijua Sana kupitia threads za pombe na wanawake.
Wee endelea kureply hapa jamiiforum huna ulijualo kwenye hii nchi