Kaeni nyumbani mtulie, viherehere vyenu tu na hamjaitwaHakuna haja ya maandamano, kesi iko Mahakamani. Watu ilikuwa twende kumpa sapoti ya kusikiliza kesi, wao ndiyo waoga wakabadilisha usiku kuwa itatumia kuendesha kesi mtandaoni.
Hakuna aliyetaka kuleta vurugu, kwenda kusikiliza kesi kuna ubaya gani? Wewe ulitaka maandamano yafanyike ya nini? Wao waliogopa hiyo sapoti tungeionyesha pale Kisutu.
Hawana lingine, fikiria pesa zilizotumika wiki nzima kwa policcm kabla ya kesi, zingetumika kwenye mambo ya kutatua kero za kijamii. Waache uoga na kuona TAL ataonekana anapendwa ni anapendwa kuliko yeye.
Jambo linalokera zaidi ni kwamba mtu yupo mtandaoni halafu anahamasisha fujo na asilimia ya waandamanaji wengi huwa ni masikiniNi upotevu wa muda na Majanga ya kujitakia kushindana na Dola , hata Uislamu umesisistiza watu wasitoke dhidi ya mtawala hata akiwa muovu kutokana na madhara ya Hilo jambo kwa mtu mmoja mmoja , machafuko na kuondoka kwa Amani katika eneo husika.
Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k
Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu.
Kila mtu anaongea kama vile kanywa maji ya bendera.
Rai yangu ni kwamba kuna muda kunyamaza ni Bora zaidi kuliko kukaa kwenye PC na kuamrisha watu waandamane ikiwa wewe upo nje ya nchi au upo hapa nchini lakini huwezi kujitokeza kudai hicho unachokiita haki.
Mwenyekiti wa CDM Mh Tundu Lissu yupo ndani na Leo hii kagoma kesi isiendeshwe Kwa njia ya mtandao lakini atatoka tu.
Makamu mwenyekiti CDM Mh John Heche naye alikamatwa juzi akaachwa ,pia leo alikamatwa asubuhi lakini ataachiwa tu.
Katibu mkuu wa CDM John Mnyika naye amekamatwa asubuhi wakati akielekea huko mahakamani kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa CDM taifa.lakini ataachiwa tu,
Hawa ni watu wanajulikana na ni vigumu kusota mahabusu Kwa muda mrefu. Hao ni unaowajua.
Lakini ukweli ni kwamba selo zimejaa watoto wa masikini wanaodanganywa na kundi la watu wachache wanaoendesha harakati kinadharia huku mbwa Koko na vijana wapenda sifa wakizolewa na kuwekwa Lockup haijulikani watatoka lini.
Watanzania wenzangu tuache harakati uchwara huku wenzenu wanaumia na nyinyi mnaendelea Kula maisha mtaani.
Tuseme wajinga ndiyo waliwao
Naweza kuwa nyumbani , ofisini au Chadema HQ.Kwanza unatype ukiwa wapi isije kuwa upo ofisini ama nyumbani kwako?
Watu tunajua uko CDM headquarter
Nawaonea huruma watoto na vijana wa kitanzania ambao wanazidi kujaza selo na hawajulikani watatoka lini.Mada imekaa kidalali dalali. Vipi ina udhamini wa mama au g-55?
PoleNaweza kuwa nyumbani , ofisini au Chadema HQ.
Ila swali ninalokuuliza hawa Chadema mnaowaona mitandaoni ni watu halisi au maroboti?
Ikiwa Chadema Ina idadi kubwa ya wafuasi mtandaoni ni kitu kizuri Sana kwakuwa hao wafuasi sio maroboti ni real human being.
Jifunze kujenga hojaPole
Nawaonea huruma watoto na vijana wa kitanzania ambao wanazidi kujaza selo na hawajulikani watatoka lini.
Kama maisha yako unaendesha Kwa njia ya udalali pole Sana huna tofauti na anayebet
Mtandao upi huu ambao mawakili wa jamhuri muda wote wanasema kuwa hawasiikii vizuri ifikie mahali mkubali ccm ni kukundi Cha wahunidunia nzima inakutana kwa mtandaoni lakini chedema hawataki kuskia habari ya tehama kabisa dah
We umechukua hatua gani?......UKIONA UNA FIKRA KAMA HIZO BASI WEWE HATA KUISHI HUKUTAKIWA
NI KAMA MAITI
BINADAMU LAZIMA UWE NA CHANGAMOTO YA KUWA NA MSIMAMO NA MAISHA YAKO NA YA VIZAZI VIJAVYO.
SUSTAINABILITY-------------------------
Unatoa kauli hii ukiwa chumbani unajichubua.Wewe baba yako au mama yako walijitokeza wakati Nyerere anapigania Uhuru??
Wote wanaopigania uhuru hawagi wengi, ila sasa hivi wewe unakula matunda ya Uhuru ambao Nyerere alipigania.
Lisu ana nia na atafika-----------hamna wa kumzuia lbda muueni na hauliki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
relax gentleman changia bila kuropoka πMtandao upi huu ambao mawakili wa jamhuri muda wote wanasema kuwa hawasiikii vizuri ifikie mahali mkubali ccm ni kukundi Cha wahuni
Ningejibu kwa hoja kama ungekuwa umetoa hoja mpumbavu hujibiwa sawa sawa na upumbavu wakerelax gentleman changia bila kuropoka π
basi sawa,Ningejibu kwa hoja kama ungekuwa umetoa hoja mpumbavu hujibiwa sawa sawa na upumbavu wake
Nadhani mropokaji anajielewa humubasi sawa,
ila usiwaropokee wadau wa JF bila sababu π
kwamba wewe ndie mropokaji unaejielewa JF? mbona una mihemko sana sasa gentleman πNadhani mropokaji anajielewa humu
Unanisoma vibaya naonakwamba wewe ndie mropokaji unaejielewa JF? mbona una mihemko sana sasa gentleman π