Unafiki wa watu wanaopinga ushoga katika nchi za kihafidhina

Wananchi wanaopinga ushoga ndio wanaokimbia nchi zinazopinga ushoga kukimbilia nchi zenye ushoga.
Mbona unaweweseka
Yaani niache kwenda nje kusoma au kutafuta maisha kwa kuwa napinga ushoga?
Unadhani huko kwao hakuna wanaopinga ushoga? Nenda US au UK wamejaa wapinga ushoga na ni hao hao wazungu,
Juzi tu hapa serikali ya UK na US zilikataza waliojibadilisha kuwa wanawake kushiriki michezo ya wanawake na kupitisha sheria kabisa kuwa mwanaume hawezi kujiita mwanamke

 
Nilifikiri kwa Wahafidhina hasa wa Tanzania maadili ndio jambo kubwa zaidi na kipaumbele namba moja kuliko uchumi!
 
Nilifikiri kwa Wahafidhina wapinga ushoga maadili ndio kipaumbele namba moja halafu masuala mengine kama hayo ya uchumi, elimu ndio yanafuatia baadaye!
 
99% mkiambiwa muishi na Taleban ambao mna share nao imani na maadili au US gay capital of the world, tunajua mtachagua wapi😁
Wengi wanasema watachagua uchumi mzuri, elimu nzuri na uhuru mkubwa kwanza, suala la ushoga itabidi lisubiri kidogo!😁
 
Ayoub Khan anaongelea "personal" belief yake, hafanyi harakati yoyote kupinga ushoga,

Fiona Anasonya anapiga ushoga kufundishwa shuleni( wapo watu wengi wanaounga mkono ushoga ila hawapendi ushoga kufundishwa mashuleni au shughuli kama za pride month), hata hivyo Fiona alishatimuliwa ubunge na wapiga kura wake.

Ranil Jawardena alikuwa anasapoti haki sawa kwa wote ikiwemo mashoga

Huyo Suella ndiye alikuwa kinyume na ushoga kwa wazi.
 
Nilifikiri kwa Wahafidhina hasa wa Tanzania maadili ndio jambo kubwa zaidi na kipaumbele namba moja kuliko uchumi!
Mada zako nyingi zinaonesha uwezo wako wa kufikiri uko chini sana au huo ushoga unao ufanya umekufanya ukose hizo akili.
Suala la ushoga ni suala la maadili kutokana na jamii husika.
Hata humu Tz kuna jamii mbali mbali ambazo zina maadili tofauti ,mfano ww hapo ulipo unapinga ukeketaji kwa hiyo hutakiwi kwenda mikoa yenye jamii ya wamasai kutafuta furusa za kiuchumi?

Hoja yako ingekuwa na maana iwapo ungekuwa ukienda kwenda kwenye hizo nchi unarazimishwa kuwa shoga.
 
Ukeketaji ni kosa la jinai Tanzania nzima.

Kwani mnapoharamisha ushoga Tanzania na kuufanya jinai au kutaka mashoga wauwawe kabisa huwa kuna mtu anamlazimisha mtu kuwa shoga?
 
Mkuu umepiga kwenye kidonda. Ni unafiki na nakuhakikishia kuwa nchi zetu zina mashoga wengi kuliko huko kwa mabeberu.
 
Mkuu usipoteze nguvu zako na muda wako kwa huyo Empty set.
 
Hapo nakuuliza wewe binafsi
Huwa sielewi maana au msingi wa hili swali kwenye huu mjadala. Kwa mfano mimi sisapoti ndoa ya wake wengi wala nisingependa dada zangu waolewe katika ndoa za wake wengi lakini sioni kama ndoa za wake wengi ni haramu au jinai, pia sijali maamuzi ya mtu binafsi kuoa wake wengi au kuolewa ndoa ya wake wengi,
Hapo unaniweka upande gani??
 
Nakuweka upande wa mtu aliyekwepa swali langu

Swali langu ni rahisi sana wala halihitaji maelezo mengi na mifano ya ufafanuzi.

Wewe binafsi unasapoti swala la uchoko?
 
Nakuweka upande wa mtu aliyekwepa swali langu

Swali langu ni rahisi sana wala halihitaji maelezo mengi na mifano ya ufafanuzi.

Wewe binafsi unasapoti swala la uchoko?
Kusapoti uchoko unamaanisha nini?
 
Kusapoti ushoga
Kama unamaanisha mashoga kuwa na haki sawa na raia wengi wote na kutohesabiwa wahalifu, ndio nasapoti wapewe haki sawa na raia wengine wote.
 
Ushoga, ukahaba, ni changamoto za kijamii ambazo tutaendelea kua nazo kwa muda mrefu kwasababu zina wateja wengi.
 
Wapiiii? Sio kwa Africa, Lol
 
Wapiiii? Sio kwa Africa, Lol
Kama chini soma, Leo Congo wakijifungia Tu hapo miaka kadhaa bila kitu kutoka ama kuingia Makampuni kibao ya Tech yanadondoka, sababu wewe hufuatilii haimaanishi vitu havifanyiki.
 
Kama chini soma, Leo Congo wakijifungia Tu hapo miaka kadhaa bila kitu kutoka ama kuingia Makampuni kibao ya Tech yanadondoka, sababu wewe hufuatilii haimaanishi vitu havifanyiki.
Mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…