Sasa mbona unataka kupangia watu namna ya kupambana na hali zao..!?Kila mtu anapambana na hali yake. Kwani wewe kuna mtu anakupambania hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
PovuSasa mbona unataka kupangia watu namba ya kupambana na hali zao..!?
Ahahaaaaah...
Yeah...
Yaani uko sawa kabisaHana lolote, yaani à naangalia kushindana na Kiba tu. Hadi kuamua kukopy wimbo wa Matonya.
Mkuu kuna mimtu pumbaf sana!akitoa wimbo wa soko la nje wnalalamika kuwa ameikacha bongo flavour,sasa katoa bongo flavour wanasema anarudi nyuma na hatofanikiwa tena kimataifaHuna akili wewe kwani diamond katoa wimbo mmoja tu, anaangalia analenga nini huu wimbo kalenga hapa home zaid.
Maskini Kakopy tena zilipendwaHana lolote, yaani à naangalia kushindana na Kiba tu. Hadi kuamua kukopy wimbo wa Matonya.
acha ukum.a title"zilipendwa"ina hati miliki ya matonya?Na idea yote imetokana na wimbo wa matonya, ubunifu zero kabisa.
To accomplish much you must first lose everything..
Kwan viewers huko istagram imefikia ngap