Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

Aisee tupo tofauti sana. Ukiweka uteam pembeni this guy is so international.
 
Huna akili wewe kwani diamond katoa wimbo mmoja tu, anaangalia analenga nini huu wimbo kalenga hapa home zaid.
Mkuu kuna mimtu pumbaf sana!akitoa wimbo wa soko la nje wnalalamika kuwa ameikacha bongo flavour,sasa katoa bongo flavour wanasema anarudi nyuma na hatofanikiwa tena kimataifa
 
Eneka kakopi kwa Davido
Zilipendwa kakopi ya Matonya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na idea yote imetokana na wimbo wa matonya, ubunifu zero kabisa.

To accomplish much you must first lose everything..
acha ukum.a title"zilipendwa"ina hati miliki ya matonya?
title kufanan haina tatzo kabisa,content,bit na kila kila tofauti!

nyimbo ambazo zinafanana title
1.el chapo ya di banj
2.el chapo ya ay
3.asha ya tid
4.asha ya jagwa music
5.east africa melody"zilipebdwa"imeimbwa na khadija yusuph
6."zilipendwa" ya mayonya
7."zilipendwa" ya wcb
nk
kabla ya kusema title "zilipendwa" wameiba,ulitakiwa useme o ukamwambie matonya"zilipendwa" kaiba kwa k.yusuph kuz yeye aliimba muda mref tu!
 
Kwan viewers huko istagram imefikia ngap
Screenshot_20170826-132630.png
 
Back
Top Bottom