Shida ya wapinzani wetu nini?.
1.Milungula kutoka CCM?
2.Urafi wa madaraka?.
Mara zote Hakuna mkate.mgumu mbele ya chai. Acha CCM watunyooshe kama tutaemdelea kuwategemea wapinzani chumia tumbo kutusemea matatizo yetu huku tumelala
Mwaka huu Lissu kawahi kupoteana, yaani anataka afunge magoli timu ya Chadema na timu ya CCM papo, matokeo yake wenzake wameanza kumshambulia, na uchaguzi mkuu kura zake Chadema watazihujumu