Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
πMwulize
Mimi ni mkulima ndugu yangu mtanzania πTajiri Bill Lugano njoo umpe ajira huyu kijana walau ya kulipwa $5000 kwa saa ili aachane na kazi ya ukunguni ya kulipwa buku saba kwa saa 24
Acha ujinga Mzee ππ au umeshajimiminia vitu vyako.Amekazia kauli ya Ndugai kwamba Vijana wa kiume wa Tanzania ni wateketeke sana wanazidiwa kila kitu na wasichana πΌ
Ambae hayupo kwenye madaraka anaona vema hatma ya utawala wako kuliko wewe uliemadarakani au uliekalia kiti!!Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.
Huu hapa ujumbe wenyewe
πView attachment 3340406
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe uko juu ya mti unazidiwa na Wassira aliyejikalia Chini ya mti ππAcha ujinga Mzee ππ au umeshajimiminia vitu vyako.
Na ndio mana halisi. Huyu ignorant mwenye uzi hawezi kuelewa kitu Zaid ya ushabiki wa kisiasa na kua chawaAmbae hayupo kwenye madaraka anaona vema hatma ya utawala wako kuliko wewe uliemadarakani au uliekalia kiti!!
Mimi ni Sawa na kichuguu na Mheshimiwa Stephen Wasira ni sawa na Mlima Kilimanjaro kwa maarifa na kila kitu. Mimi si kitu wala chochote kwa Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wangu CCM Taifa. Mimi ni kinda kwake.. naendelea kujifunza mengi kutoka kwake.Wewe uko juu ya mti unazidiwa na Wassira aliyejikalia Chini ya mti ππ
Acha ujinga wako hapa wewe. Uwe na adabu na heshima kwa Mheshimiwa RaisANAMAANISHA TUNDULISU NI ZAIDI YA SAMIA
Nape haaminiki, ni mwizi hata kwa maccm wenzake!Unafikiri Nape Nnauye Amemaanisha Nini Kwenye Ujumbe Huu Aliouandika?
Gaidi la bao la mkono hiloNdugu zangu Watanzania,
Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.
Huu hapa ujumbe wenyewe
πView attachment 3340406
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Eti Yeye anatosha kuwa raisNdugu zangu Watanzania,
Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.
Huu hapa ujumbe wenyewe
πView attachment 3340406
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha kumchafua MheshimiwaGaidi la bao la mkono hilo
Wapi kasema hivyo na wapi umewahi kuona akichukua Fomu ya Urais.Y
Eti Yeye anatosha kuwa rais