Unafikiri Nape Nnauye amemaanisha nini kwenye ujumbe huu aliouandika?

Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.

Huu hapa ujumbe wenyewe

👉View attachment 3340406

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkumbushe Mwanao(Mama NI mama Samia Mwanae NI Abdul)

Mzee aliyekaa chini(yeye mwenyewe Nape ,kiumri NI mkubwa kuliko Abdul ) anaona mbali (Nape NI maradona tena alilala polini akikipigania chama kurudi madaraka hyo NI 2015 kwahiyo mambo yote kuhusu uchaguzi yeye Kama mchawi WA soka wizi WA Kura ,figisu figisu anayajua)

Kuliko kijana aliyepanda juu ya mti (Rudi tena Kwa Abdul.abdul ndo Kwanza ameukwaa au ameupata dogo ana penetrated kila angle yaani NI mwiba NI Kama Yule winger mtata WA arsenal Jimmy penalty dogo ni fundi Bwana ako na level za akina greenwood WA manutd ukimzidi ujanja anakubaka.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.

Huu hapa ujumbe wenyewe

👉View attachment 3340406

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anamaanisha kuwa polisi Tz wako wanafuatilia Heche kasema nini leo au Mnyika anaishi wapi bila kujua kuwa huku nyuma wadukuzi wanadukua taasisi nyeti za serikali
 
Amenukuu African Proverb kutoka Nigeria,
What an old man sees while lying down, a young man can not see it even if he climbs up the tree!
Wajinga kama wewe ni ngumu kung'amua, mithali kama hizi! Endelea kulamba makalio labda IPO siku utaonekana kwenye meza ya wenye mikono yenye Damu. Nikukumbushe tu hata kwenye ardhi Yako Mbeya, bwana Mpaluka wamemuua na wauwaji unawaosifia Kila wakati na Dar es salaam, damu ya Kitima Mtumishi wa Mungu imemwagika japo uhai wake hawakuweza kuutwaa.
Herode alikitwaa kichwa Cha Yohane mbatizaji Mtumishi wa Mungu! Karma is real hutakufa bila kuona matokeo ya kazi hii
Kumbe kaiba Msemo na kuufanyia marekebisho madogo🤣😀
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.

Huu hapa ujumbe wenyewe

👉View attachment 3340406

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kumbe hata ma parachichi yana tuchukuliq ni mbolea
 
Wewe na Nape hamna utofauti. Wote ni machawa wachumia tumbo
 
Ukute yeye ndio mdukuzi wa leo maana Ile kiswahili ukiisoma vizuri siyo kiswahili ya Wakenya
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.

Huu hapa ujumbe wenyewe

👉View attachment 3340406

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

UNAENDA MDANDIA NA NAPE? WEWE HUKO NYUMA HUKUWA HIVYO. OLEWA UTULIE SASA KAMA. WENZIO.
 
Katika ujumbe huo chini ni sehemu kama uraiani au gerezani wakati juu ni mahali kama Ikulu au madarakani.

Mti ni maisha ambapo aliye juu lazima ashuke chini wakati ukifika pia aliye chini anaweza kupanda juu wakati ukifika.

Nape anamkumbusha Rais Samia kuwa asiwachukulie poa akina Tundu Lissu na Chadema au wana CCM wengine wasio na madaraka.
 
Amenukuu African Proverb kutoka Nigeria,
What an old man sees while lying down, a young man can not see it even if he climbs up the tree!
Wajinga kama wewe ni ngumu kung'amua, mithali kama hizi! Endelea kulamba makalio labda IPO siku utaonekana kwenye meza ya wenye mikono yenye Damu. Nikukumbushe tu hata kwenye ardhi Yako Mbeya, bwana Mpaluka wamemuua na wauwaji unawaosifia Kila wakati na Dar es salaam, damu ya Kitima Mtumishi wa Mungu imemwagika japo uhai wake hawakuweza kuutwaa.
Herode alikitwaa kichwa Cha Yohane mbatizaji Mtumishi wa Mungu! Karma is real hutakufa bila kuona matokeo ya kazi hii
Mdude Ndio Nani
 
Mimi ni Sawa na kichuguu na Mheshimiwa Stephen Wasira ni sawa na Mlima Kilimanjaro kwa maarifa na kila kitu. Mimi si kitu wala chochote kwa Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wangu CCM Taifa. Mimi ni kinda kwake.. naendelea kujifunza mengi kutoka kwake.
Yaani hao watawala wa kijani unavyowahusudu unaweza kuwapa hata mtigo wako mchafu usivyo na akili!
 
Mimi ni Sawa na kichuguu na Mheshimiwa Stephen Wasira ni sawa na Mlima Kilimanjaro kwa maarifa na kila kitu. Mimi si kitu wala chochote kwa Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wangu CCM Taifa. Mimi ni kinda kwake.. naendelea kujifunza mengi kutoka kwake.
Kinda hupakatwa

Unapenda sana kitonga 😂😂
 
Back
Top Bottom