Unafikiri Nape Nnauye amemaanisha nini kwenye ujumbe huu aliouandika?

Unafikiri Nape Nnauye amemaanisha nini kwenye ujumbe huu aliouandika?

Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.

Huu hapa ujumbe wenyewe

👉View attachment 3340406

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
IMG_6812.jpeg
 
Mzee = Ndugai ( rejea kupigwa mnada)
Kijana = Nepi & Janu ( walileta janja janja wakaliwa vichwa, mmoja amerejeshwa kwa kauli za jukwaani tu ila bado kuti kavu)

Bashite anarudi kukiokoa chama. CPA ni kama pumzi haipo.

Mzee wa mtama katubu kabla mauteuzi ya majimboni hayajaanza.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.

Huu hapa ujumbe wenyewe

👉View attachment 3340406

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Amenukuu African Proverb kutoka Nigeria,
What an old man sees while lying down, a young man can not see it even if he climbs up the tree!
Wajinga kama wewe ni ngumu kung'amua, mithali kama hizi! Endelea kulamba makalio labda IPO siku utaonekana kwenye meza ya wenye mikono yenye Damu. Nikukumbushe tu hata kwenye ardhi Yako Mbeya, bwana Mpaluka wamemuua na wauwaji unawaosifia Kila wakati na Dar es salaam, damu ya Kitima Mtumishi wa Mungu imemwagika japo uhai wake hawakuweza kuutwaa.
Herode alikitwaa kichwa Cha Yohane mbatizaji Mtumishi wa Mungu! Karma is real hutakufa bila kuona matokeo ya kazi hii
 
Back
Top Bottom