Unafikiri Nape Nnauye amemaanisha nini kwenye ujumbe huu aliouandika?

Mzee wa methali huyu,huwa anazipenda sana akiwa nje ya ulingo,lakini najua kuna mtu hili jiwe litakuwa limempata kichwani...
 
An
Anawaona akina Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah wakipata teuzi baada ya Uchaguzi kwisha!
 
Anamaanisha Lucas Mshamba ni kimeo pro max
 
Huna namba yake si ungemuuliza? Hicho kichwa chako hakitoshi kutambua ulichosikia?
 
Amemaanisha kuwa japokuwa babake mzazi ameshadtaafu siasa lakini bado anaendelea kuwa nguli kuliko yeye ambaye bado yuko kwenye active politics
 

Attachments

  • downloadfile-28.jpg
    1,008.8 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…