Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Kuna watu humu sijui ni ushamba, sijui ni ulimbukeni, sijui na kukosa elimu ya Dini, sijui ni kukosa elimu ya Kadi(jando na unyago) sijui ni kukosa elimu ya Sheria, basi tuu wanajifanya wanausasa lakini kimsingi ni kuwa wamechanganyikiwa na hawajui wamechanganyikiwa.
Utasikia Kwa Wazungu ndoa sio muhimu😀😀 Nani kasema, au Wazungu wa Kwa mtogole. Hakuna jamii yoyote duniani isiyojua thamani ya ndoa.
Ndoa ndio msingi wa Taifa.
Kwa kiumbe Seli ndio small unit of life,
Na Kwa taifa Ndoa ndio msingi wa nchi.
Niliwahi kusema kuwa taifa lolote ili lianguke basi chakwanza kitakachoshambuliwa ni ishu ya Ndoa,"familia" W Wazungu walikuwa watu wa kwanza kuerevuka na kustaarabika ndio maana wakaondoka kwenye Ndoa ya wake wengi mpaka kuwa ndoa ya Mke mmoja ili kupungua mifarakano na kuleta ufanisi katika maendeleo ya nchi.
Kufupisha Stori ingia kwenye Mtandao alafu search magrupu ya Wazungu au mataifa ya Ulaya na Asia alafu angalia Mitazamo ya jamii hizo kuhusu ndoa.