Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

Mmh hiv unaweza kumtambua MTU kupitia avatar ya uongo na kujimwambafai nyuma ya keyboard????
 
Kwenye urembo hapo umepotea sana [emoji38][emoji38]
 
Apo mwisho sasa ulivyomaliziaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anyway big up mkuu umenifanya walau nam nimepitia hiyo LAWS OF ATTRACTION. umeniongezea kitu. Thanks so much πŸ™
 
14. Most women in here JF are single mothers.
15. Most women in here JF are so desperate, stressed and depressed( wamekata tamaa, wenye msongo wa mawazo na wenye huzuni)
16. Most women in JF are loose-women( Hawajui kumkataa mwanaume)
Itakuwa kweli mana wakiwa wanakomenti hoja miandiko yao inakuwa na stress hatar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…