Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

Mkuu jf ni bahari tena yenye viumbe wa kila aina! Kwa hiyo wewe kama siyo baharia ya ndani ya bahari hakika huwezi kuyajuwa, ila kama una lengo la kujifunza basi jf ni darasa huru tena lenye wasomi wenye sifa zote

Mkuu kuhusu wanawake wa jf wapo wa kila aina wembamba walefu hata wenye chura wakubwa wapo ila kama nilivyo sema jf nikama bahari wamo papa na nyangumi pia usiwasahau
 
Kufupi wanatafunika sna kimasihara ndo maana hawakauki kuchungulia kule km habari zao zimefika
 
wengi wao wanaringa sana kumbe hamna kitu
 
Reactions: amu
Ngoja nipashe pashe kwanza leo.jpm sipashi saaana
 
Nakupa taahadhari muogope sana mwanamke anaeijua jf tena na anaeitumia yaani braza nasisitiza sana mwogope.
 
Hiyo namba sita inakuhusu
Inaonekana ushachezea sana za mbavu.
 
Hiyo namba sita inakuhusu
Inaonekana ushachezea sana za mbavu.
Ila kwa kuongeza tu wengi wanaficha ID zao si rahisi kujua jinsia ya mtu tofauti na mitandao mingine but sio big deal sana kujuana jinsia lengo kuu LA jf kuchukua maarifa.
 
Mpaka ifikie hatua ya kuonana na mtu ni lazima kuwe na NIA ya kuonana ss kama hamna ulazima wa kuonana na mtu why mkutane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…