Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

Mkuu jf ni bahari tena yenye viumbe wa kila aina! Kwa hiyo wewe kama siyo baharia ya ndani ya bahari hakika huwezi kuyajuwa, ila kama una lengo la kujifunza basi jf ni darasa huru tena lenye wasomi wenye sifa zote

Mkuu kuhusu wanawake wa jf wapo wa kila aina wembamba walefu hata wenye chura wakubwa wapo ila kama nilivyo sema jf nikama bahari wamo papa na nyangumi pia usiwasahau
 
Kufupi wanatafunika sna kimasihara ndo maana hawakauki kuchungulia kule km habari zao zimefika
 
wengi wao wanaringa sana kumbe hamna kitu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Habari za mda huu wanaJf

Poleni na majukumu (kwa wale wataftaji)
Hongera kwao pia. MUNGU awajalie katika utaftaji wenu (kwa wale wafanyao shughuli halali)

Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.. kwa kuanza na Mimi nafikiria kwamba

1. Wapole

2. Wanaakili za maisha

3. Wengi wao ni umri (25_35)

4. Wengi wameolewa

5. Sio wambea kivile

6. Hawatongozwi kiraisi[emoji23]

7. Wengi wa dar es salaam

8. Huwai kupika mapemaa

9. Warembo kinoma

10. Walezi wazuri wa familia

11. Hawapendi hela kivile[emoji23]

12. Upendo wa dhati

13. Aaaaa ongezea na wewe uwafikiriavyo[emoji116][emoji116]
Nakupa taahadhari muogope sana mwanamke anaeijua jf tena na anaeitumia yaani braza nasisitiza sana mwogope.
 
Hiyo namba sita inakuhusu
Inaonekana ushachezea sana za mbavu.
 
Hiyo namba sita inakuhusu
Inaonekana ushachezea sana za mbavu.
Ila kwa kuongeza tu wengi wanaficha ID zao si rahisi kujua jinsia ya mtu tofauti na mitandao mingine but sio big deal sana kujuana jinsia lengo kuu LA jf kuchukua maarifa.
 
Mpaka ifikie hatua ya kuonana na mtu ni lazima kuwe na NIA ya kuonana ss kama hamna ulazima wa kuonana na mtu why mkutane
 
Back
Top Bottom