Unafunga goli 3 za offside ndani ya mechi mbili halafu unatoka kujifanya mwanaharakati wa mpira

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Ninavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao. Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape wanayanga.

Hawa walioshupaza shingo zao, wakaita hadi TRA na TAKUKURU, wakaenda CAS, wakaenda Mahakama ya Kisutu, wakatishia amani ya nchi kisa mechi kuahirishwa na wakaenda hadi Ikulu kupeleka madai yao, leo wamepewa magoli 3 ya offside ndani ya mechi mbili ila hausikii wala hauoni wakitoa neno kuhusu hilo. Tusiwalaumu sana, hawana soni wala aibu.

Tuna wanaharakati wa mchongo katika mpira wa Tanzania.
 
Kusema ukweli Yanga ni hatari Sana maana wananunua mpaka simba uko
 
Ninavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao.

Hawa walioshupaza shingo zao, wakaita hadi TRA na TAKUKURU, wakaenda CAS, wakatishia amani ya nchi kisa mechi kuahirishwa na wakaenda hadi Ikulu kupeleka madai yao, leo wamepewa magoli 3 ya offside ndani ya mechi mbili ila hausikii wala hauoni wakitoa neno kuhusu hilo. Tusiwalaumu sana, hawana soni wala aibu.

Tuna wanaharakati wa mchongo katika mpira wa Tanzania.
Nendeni mkawafunge tarehe 25 nyie ndio kiboko yao mabingwa wa shirikisho
 
Mmeanza kutetemeka kabla ya tarehe 25!, tulieni mara hii tumeshikilia sindano ya ng'ombe...😂
 
Ninavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao. Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape wanayanga.

Hawa walioshupaza shingo zao, wakaita hadi TRA na TAKUKURU, wakaenda CAS, wakaenda Mahakama ya Kisutu, wakatishia amani ya nchi kisa mechi kuahirishwa na wakaenda hadi Ikulu kupeleka madai yao, leo wamepewa magoli 3 ya offside ndani ya mechi mbili ila hausikii wala hauoni wakitoa neno kuhusu hilo. Tusiwalaumu sana, hawana soni wala aibu.

Tuna wanaharakati wa mchongo katika mpira wa Tanzania.
Namungo vs Simba
Pamba vs Simba
Simba vs mashujaa
Nyingine ongezea wewe
 
Ninavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao. Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape wanayanga.

Hawa walioshupaza shingo zao, wakaita hadi TRA na TAKUKURU, wakaenda CAS, wakaenda Mahakama ya Kisutu, wakatishia amani ya nchi kisa mechi kuahirishwa na wakaenda hadi Ikulu kupeleka madai yao, leo wamepewa magoli 3 ya offside ndani ya mechi mbili ila hausikii wala hauoni wakitoa neno kuhusu hilo. Tusiwalaumu sana, hawana soni wala aibu.

Tuna wanaharakati wa mchongo katika mpira wa Tanzania.
Kilichobakia kwa sasa ni kuleta tu timu tarehe 25. Hakuna tena mahali pa kukimbilia. Na mbaya zaidi zimebakia siku 2 tu kutoka sasa.
 
Back
Top Bottom