DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Nendeni mkawafunge tarehe 25 nyie ndio kiboko yao mabingwa wa shirikishoNinavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao.
Hawa walioshupaza shingo zao, wakaita hadi TRA na TAKUKURU, wakaenda CAS, wakatishia amani ya nchi kisa mechi kuahirishwa na wakaenda hadi Ikulu kupeleka madai yao, leo wamepewa magoli 3 ya offside ndani ya mechi mbili ila hausikii wala hauoni wakitoa neno kuhusu hilo. Tusiwalaumu sana, hawana soni wala aibu.
Tuna wanaharakati wa mchongo katika mpira wa Tanzania.
Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape wanayangaKwamba Yanga waliumbwa bila aibu, ila wabongo!
Yanga hawana aibu yaani wametunga sisi 5imba mara 4 mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape wanayanga
Namungo vs SimbaNinavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao. Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape wanayanga.
Hawa walioshupaza shingo zao, wakaita hadi TRA na TAKUKURU, wakaenda CAS, wakaenda Mahakama ya Kisutu, wakatishia amani ya nchi kisa mechi kuahirishwa na wakaenda hadi Ikulu kupeleka madai yao, leo wamepewa magoli 3 ya offside ndani ya mechi mbili ila hausikii wala hauoni wakitoa neno kuhusu hilo. Tusiwalaumu sana, hawana soni wala aibu.
Tuna wanaharakati wa mchongo katika mpira wa Tanzania.
Kilichobakia kwa sasa ni kuleta tu timu tarehe 25. Hakuna tena mahali pa kukimbilia. Na mbaya zaidi zimebakia siku 2 tu kutoka sasa.Ninavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao. Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape wanayanga.