Plan B ipi mkuu,kwamba azuie afungwe 7Ni calculation mbovu alizofanya Inzaghi, Walikuwa na option nzuri ya kuukwepa mtego wa Paris lakini alikaza fuvu, dakika ishirini za mwanzo tayari ushapata majibu lakini alijifanya nunda. Kocha lazima uwe na plan B.
Ni calculation mbovu alizofanya Inzaghi, Walikuwa na option nzuri ya kuukwepa mtego wa Paris lakini alikaza fuvu, dakika ishirini za mwanzo tayari ushapata majibu lakini alijifanya nunda. Kocha lazima uwe na plan B.
Hapana, PSG walikuwa lazima watakuja na high press hasa ndani ya box, hii game cha muhimu ilikuwa ni matokeo haijalishi unachezaje, timu ya Milan si ya kuweza kupishana au kukimbizana mara Kwa mara na PSG kwasababu hiyo athleticism ya kiwango hicho hawana, wangeweza kuukata uwanja Kwa kukaba kuanzia kati Ili uwanja uwe mdogo Kwa maana kuziba zile space kubwa kubwa maana PSG wako na Pace sana ukiwakatia eneo kubwa wanakumaliza, Ili basi mechi iwe ngumu na isiwe na magoli mengi wangekubali kuwa underdog dakika ya kwanza kabisa huku wakisubiri muda mzuri wa kushambulia Kwa kushtukiza, halafu angetake risk ya kuanza na kina Bisseck, Fratessi na vijana wengine kwaajili ya kuikaribia ile pace ya PSG. Naamini Kwa nidhamu kubwa basi Leo hata angefungwa ni margin ndogo ya magoli.Plan B ipi mkuu,kwamba azuie afungwe 7
Ilikuwaje akamtoa Barcelona!!?
Labdah ingesaidia hasa Hapo kwenye kutokupishana maana kama spurs aliweza kwa Man u Inter Milan anashindwa nn?...Japo hata angefanyaje inter Milan kwa style Yao wangekufa Tu maana magoli Yake mengi ni kuvizia tuHapana, PSG walikuwa lazima watakuja na high press hasa ndani ya box, hii game cha muhimu ilikuwa ni matokeo haijalishi unachezaje, timu ya Milan si ya kuweza kupishana au kukimbizana mara Kwa mara na PSG kwasababu hiyo athleticism ya kiwango hicho hawana, wangeweza kuukata uwanja Kwa kukaba kuanzia kati Ili uwanja uwe mdogo Kwa maana kuziba zile space kubwa kubwa maana PSG wako na Pace sana ukiwakatia eneo kubwa wanakumaliza, Ili basi mechi iwe ngumu na isiwe na magoli mengi wangekubali kuwa underdog dakika ya kwanza kabisa huku wakisubiri muda mzuri wa kushambulia Kwa kushtukiza, halafu angetake risk ya kuanza na kina Bisseck, Fratessi na vijana wengine kwaajili ya kuikaribia ile pace ya PSG. Naamini Kwa nidhamu kubwa basi Leo hata angefungwa ni margin ndogo ya magoli.
Wachezaji alikuwa nao sema ni ile Hali ya kutaka na sisi tucheze na tuupige kwa style, hakukuwa na uwezekano wowote wa Milan kumatch na Pace ama athleticism ya PSG, hili Kwa kocha mwerevu lazima ajitathimini. Kwa maoni yangu ni Bora angecheza Low block huku akisubiri muda mzuri wa kufanya counter attack. Ingemsaidia kwenye kuukata uwanja na kutengeneza space ndogo ya kukimbia hii ingewapa ugumu PSG.mkuu mpira sio mwepesi kihivo mkuu, na hata hizo plan za ziada zinahitaji quality za ziada za wachezaji, Je alikuwa nao hao wachezaji wakubadilisha mfumo?
Na Inter shida Yao ni nidhamu ya kuzuia.Labdah ingesaidia hasa Hapo kwenye kutokupishana maana kama spurs aliweza kwa Man u Inter Milan anashindwa nn?...Japo hata angefanyaje inter Milan kwa style Yao wangekufa Tu maana magoli Yake mengi ni kuvizia tu
Wachezaji alikuwa nao sema ni ile Hali ya kutaka na sisi tucheze na tuupige kwa style, hakukuwa na uwezekano wowote wa Milan kumatch na Pace ama athleticism ya PSG, hili Kwa kocha mwerevu lazima ajitathimini. Kwa maoni yangu ni Bora angecheza Low block huku akisubiri muda mzuri wa kufanya counter attack. Ingemsaidia kwenye kuukata uwanja na kutengeneza space ndogo ya kukimbia hii ingewapa ugumu PSG.
Unajua magoli mengi ya PSG niliyoyaona hasa UEFA waliyafunga Kwa kutumia space kubwa waliyoitengeneza wapinzani hasa pale wanapofanya high pressing na positional interchange, hii option iliwahitaji Milan nidhamu tu na hata kupoteza ingekuwa na margin ndogo.
Msaada WA Refa na pia Barcelona nyuma alipwaya Sana hasa beki ya kushoto Ambapo karibu goli 5 zimetokea hukoIlikuwaje akamtoa Barcelona!!?
Lkn hata Barc msimu wa 2014/2015 alichukua Ubingwa kwa hii team pia.Msaada WA Refa na pia Barcelona nyuma alipwaya Sana hasa beki ya kushoto Ambapo karibu goli 5 zimetokea huko
Mturuki kiasili ni defensive midfielder sema Hana pace na siyo athletic mzuri hivyo Kwa low block Kwa kuwa hukimbii eneo kubwa Kila wakati ingewasaidia sana, combination ya Barella na Kristjan Asllani ingewasaidia sana hata kama wangefungwa lakini ni Kwa margin ndogo.low block unahitaji midfield wa kukaba vizuri, sasa Mkhitaryan na yule Mturuki patachezeka hapo? wote ni attacking minded, na timu yoa bench sio zuri.
Kwa kifupi Inter wamejitahidi sana mpaka kufika hiyo final wanastahiki pongezi. PSG wamekuwa waki spend averge 200 m every season wakati Inter for last 4 years hata 100 millions hawajafika.
Mturuki kiasili ni defensive midfielder sema Hana pace na siyo athletic mzuri hivyo Kwa low block Kwa kuwa hukimbii eneo kubwa Kila wakati ingewasaidia sana, combination ya Barella na Kristjan Asllani ingewasaidia sana hata kama wangefungwa lakini ni Kwa margin ndogo.