Buttler Jo
JF-Expert Member
- May 26, 2025
- 901
- 811
Hiyo imeenda..
Uzi ulitakiwa uishie hapa. Inter angepark basi ile mechi angeshinda vizuri kabisa.Wachezaji alikuwa nao sema ni ile Hali ya kutaka na sisi tucheze na tuupige kwa style, hakukuwa na uwezekano wowote wa Milan kumatch na Pace ama athleticism ya PSG, hili Kwa kocha mwerevu lazima ajitathimini. Kwa maoni yangu ni Bora angecheza Low block huku akisubiri muda mzuri wa kufanya counter attack. Ingemsaidia kwenye kuukata uwanja na kutengeneza space ndogo ya kukimbia hii ingewapa ugumu PSG.
Unajua magoli mengi ya PSG niliyoyaona hasa UEFA waliyafunga Kwa kutumia space kubwa waliyoitengeneza wapinzani hasa pale wanapofanya high pressing na positional interchange, hii option iliwahitaji Milan nidhamu tu na hata kupoteza ingekuwa na margin ndogo.
Uwezo wa kupaki basi Kwa psg hanaUzi ulitakiwa uishie hapa. Inter angepark basi ile mechi angeshinda vizuri kabisa.
Msaada WA Refa na pia Barcelona nyuma alipwaya Sana hasa beki ya kushoto Ambapo karibu goli 5 zimetokea huko
Nilichokuwa namaanisha ni sifa za kukaba anazo Kwa condition ya kuwa na natural DM nyuma au pembeni yake au BTB mmoja , anasaidia sana kwenye Hali ngumu kadhaa za kukaba hasa akiwa na sehemu ndogo, udhaifu wake ni kuzubaa hasa akiwa Hana mpira.kiasili ipi mkuu? jamaa ni natural No 10 kabisa, yani siku za karibuni tu ndio amekua anacheza little deep.
Refa alitakiwa kuchezesha fainali,ila kapigwa pinmsaada wa refa sio? vijana wa Barca bana