Unafungwaje 5 yai katika fainali ya UCL. Kweli inter kazingua sana🤣

Uzi ulitakiwa uishie hapa. Inter angepark basi ile mechi angeshinda vizuri kabisa.
 
kiasili ipi mkuu? jamaa ni natural No 10 kabisa, yani siku za karibuni tu ndio amekua anacheza little deep.
Nilichokuwa namaanisha ni sifa za kukaba anazo Kwa condition ya kuwa na natural DM nyuma au pembeni yake au BTB mmoja , anasaidia sana kwenye Hali ngumu kadhaa za kukaba hasa akiwa na sehemu ndogo, udhaifu wake ni kuzubaa hasa akiwa Hana mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…