BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga.
Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi.
Wakurugenzi wa Halimashauri ahadi walio toa wakati wanasamehewa ni kuhakikisha CCM inashinda kwa asilimia zote na ndicho walicho fanya uchaguzi wa Serikali za mitaa na warudia teba kwa uchahaguzi mkuu.
Report ya mwaka huu wamesamehe2a plus hata ya mwaka jana nao pia walisamehewa na adhabu kubwa walio pewa ni kuitwa stupidy.
Hii ya kuokoa eti pesa za sherehe ya uhuru ni hadaa kubwa sana, huwezi sitisha sherehe za uhuru kwqmba unaokoa pesa wakati huo huo unawasamehe mafisadi wanao piga Billions of Money za hii nchi.
Na kuna wajinga watakubaliana na hizi hadaa.