ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Duh aisee mpaka risasi imo wewe ni mtu hatariSomebody gonna kill me km sio na risasi basi nitachomwa na kisu km nilikoswakoswa nitawekewa Sumu kwenye chakula, nilikosea koswa kote huko basi moyo utajizima wenyewe
I'm Out
Mkuu hata crazy gk aliimba nitakufajeAisee, mbona mnapiga ramli kengefu
I'm OutDuh aisee mpaka risasi imo wewe ni mtu hatari
Kwan huko unakoendaga ndege hazifiki? Hakuna air ports???Mungu aniepushe Tuu,
Ila Nawaza sana Ajari, hasa ukizingatia ninavyosafiri na zaidi usiku.
Duh aisee na hii mvua kuwa makini sana break huwa zinatereza barabaraniMungu aniepushe Tuu,
Ila Nawaza sana Ajari, hasa ukizingatia ninavyosafiri na zaidi usiku.
Ombi lako litimienitakufa katika uzee mwema kabisaa. 97 years.
Nimeoza wanangu na nimewaona wajukuu na vitukuu mpaka vilembwe.
Nitakufa kwasababu ya utu uzima tu. Nitafia Aga khan.
Hahahahah huu ni wajibuMnabeti adi kifo? Sema hii ni uhakika mkeka unatiki
Amekufaje sasa?Mkuu hata crazy gk aliimba nitakufaje
Haipingwi hiyo mzeeOmbi lako litimie
Bado ana randa randaAmekufaje sasa?
BadoAmekufaje sasa?
Kufa sio kubaya mkuuSijiombei mabaya