Unahisi kifo chako kitasababishwa na nini?

Unahisi kifo chako kitasababishwa na nini?

Huwezi kujua usicho kijua.

Unaweza panda ndege itilafu ikatokea angani mkalipuka wote kama wale abiria wa Ethiopia Airlines walivyo kufa 2019 au wale wa precision Air waliozama bukoba.

Kuna road accidents.

Halafu kuna baba la baba KANSA.

Hili gonjwa halibishi hodi, unashtukia tu limekuvaa.
 
nitakufa katika uzee mwema kabisaa. 97 years.
Nimeoza wanangu na nimewaona wajukuu na vitukuu mpaka vilembwe.
Nitakufa kwasababu ya utu uzima tu/uzee. Nitafia usingizini pale Aga khan.
Kwa nini ufie Agha Khan na usifie kitandani nyumbani kwako?

Miaka yote hiyo AK tena!

Uje ufie kitandani kwako kuwapunguzia wanao usumbufu.
 
Hakuna ajuaye atakufa lini na wapi ila kwa lifestyle lako na Mazingira ya kazi unajionaje vyanzo gani unahisi huenda vikakusababishia umauti.Mimi kuna homa ya matonses,ini au figo,kupigwa shoti ya umeme au gas kulipuka hivyo vitu vinanitia wasiwasi sana na niko navyo makini kinyama.
Uzee
 
Whatever will be, will be. Lakini sio kwa ugonvi wa kugombea mwanamke
jidanganye
mwanamke anaweza kuwa hata mkeo jamaa akakufata akakupa dare for mo ukazima huta amini ukiwa huko mbinguni kwamba kwel mwanamke kakuondoa duniani
 
Back
Top Bottom