Unahisi kifo chako kitasababishwa na nini?

Unahisi kifo chako kitasababishwa na nini?

Mimi nina jua siku yangu ya kufa na nitakufa na nini , usiseme hakuna mtu .
 
Nikifika 80+ ndio tuanze kuongea habari za kifo changu. Ila I need a peaceful death, nisisumbue watu wangu.
80+ tayari utakuwa nuisance kwa watoto wako na jamii kwa ujumla! Ndio maana wenzetu wazungu wanawapeleka kwenye shelter homes, 80+ ni usumbufu mm nna babu yangu ana 85 ni msumbufu tu.
 
1.presha (huwa nahisi kama kuna mtu ananichoma na kitu kitovu na kukinyofoa) but ni mawazo yangu too

2.ajali
Nahofia sana kununua na kupanda hivi vitu,
1.gari
2.baiskel
3.pikipiki
4.treni n.k

hivi ndio sitaki kbs
1.ndege
2.meli

inshort zanzibar sitakanyaga
 
Nitakufa Nina miaka 150,sura. Hadi macho yangu yatakua mazima na ngozi isiyo na makunyanzi!!
Nikiwa kitandani nimepumzika siku hiyo baada ya kuwasimulia wajukuu habari za heka heka za uchaguzi was 2015 na kifo Cha jpm 2021, na kutogombea Kwa mama Samia 2025!pia nitakua nyumba ndogo sio hii kubwa niliopo!!

Nitasimulia jinsi dar es salaam ilivyoangamia 2024 Mei 20!!

Wakati huo nikiwa ni mstaafu makam wa pili wa Raise wa Tanzania!nikiwa na watoto 12 na wajukuu zaidi 24!!

Nadhani ni hapo mwaka (2024+150=2174)!!

Nadhani!!

Mungu anilinde na kunijaalia uhai was miaka mingi sana!!!

Acha niendelee kujilinda dhidi ya pombe na uasherati kama nifanyavyo kwa muda mreeefu sana!!

Na Mungu was majeshi ayajibu maombi yangu ameen!!
Nakuonea wivu kwenye umri huo ,eee Mungu na mimi nipe umri kama huyu jamaa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
piga ramliii weee ila huna ulijualoooo kuhusu kifo chako
 
Back
Top Bottom