Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Ukishajua kuwa kifo hakiepukiki basi kuishi kwa kuogopa kufa ni kuzidi kujipunguzia siku za kuishi
Upo sahihi
Death ni uwajibikaji
Sio adhabu wala dhambi
Appeal to ignorance
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishajua kuwa kifo hakiepukiki basi kuishi kwa kuogopa kufa ni kuzidi kujipunguzia siku za kuishi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakufuatilia kuanzia sasa na kuhakikisha tunakufa pamoja age 100-kwa niliyopitia na bado naishi 100 natoboa hakika
Nitakufa kwa ajali
Unachokipenda Sana ndicho kitakuua
Pombe,papuchi,sigara,magari,soda,vipodozi n.kKupenda kama nin?
Comment yako peke yake, imefanya nijue wewe ni Mtu wa aina gani....!?Somebody gonna kill me km sio na risasi basi nitachomwa na kisu km nilikoswakoswa nitawekewa Sumu kwenye chakula, nikikoswa koswa kote huko basi moyo utajizima wenyewe
I'm Out
Hizi affirmation zitaenda tokea kwa kila mtu alichotaman kuandikaComment yako peke yake, imefanya nijue wewe ni Mtu wa aina gani....!?
Naweza kukuelezea...!?
Jaribu nikuone, labda utapatiaComment yako peke yake, imefanya nijue wewe ni Mtu wa aina gani....!?
Naweza kukuelezea...!?
Sio affirmation ni uhalisia wa mtu binafsi,Hizi affirmation zitaenda tokea kwa kila mtu alichotaman kuandika
Kujitamkia kunafaa ..Hakuna guarantee hata punje ya haya unayoyasema.
Umeandika kama watoto wa sunday school.
Yesu wakati anapaa alikufia njian kwa kukosa oxygen huko angani?Ukiwa unapaa utakufa kwa kukosa oxygen huko anga za mbali ,au utapaa na space suit
Jojo jamani kha!😭Nitakufa kwa ajali