Unahisi kifo chako kitasababishwa na nini?

Mimi nina jua siku yangu ya kufa na nitakufa na nini , usiseme hakuna mtu .
 
Nikifika 80+ ndio tuanze kuongea habari za kifo changu. Ila I need a peaceful death, nisisumbue watu wangu.
80+ tayari utakuwa nuisance kwa watoto wako na jamii kwa ujumla! Ndio maana wenzetu wazungu wanawapeleka kwenye shelter homes, 80+ ni usumbufu mm nna babu yangu ana 85 ni msumbufu tu.
 
1.presha (huwa nahisi kama kuna mtu ananichoma na kitu kitovu na kukinyofoa) but ni mawazo yangu too

2.ajali
Nahofia sana kununua na kupanda hivi vitu,
1.gari
2.baiskel
3.pikipiki
4.treni n.k

hivi ndio sitaki kbs
1.ndege
2.meli

inshort zanzibar sitakanyaga
 
Nakuonea wivu kwenye umri huo ,eee Mungu na mimi nipe umri kama huyu jamaa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
piga ramliii weee ila huna ulijualoooo kuhusu kifo chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…