Unahisi kumpenda nani hapa JF?

subiri nitoke chimbo kurukaruka kwake kote kutabaki historia. huyu kungwi niliyempata ni bab kubwa kwa maujuzi ya kutuliza watu kama hawa

hahahahaha unajikoki sio.....namuonea huruma Kaizer
 
kuna mtu huwa namzimikia humu sema ndo hivyo namuonaga wakiitana baby na lijamaa fulani humu.
Ila nitamtaja tu ajue jinsi anavyoumiza moyo wangu.
 
Last edited by a moderator:
Mhe. Kaizer with your 57 years old kweli huyu binti DEMBA anakuita bebi boy unaitika. Hivi nikuulize swali. Huwa anakunyonyesha maziwa fresh?
una kifua cha kutunza siri? mie nina siri nzito na huyu mzee sasa sitaki yeye ajue. uko tayari nikung'ate sikio ila usimwambie mtu?
 
una kifua cha kutunza siri? mie nina siri nzito na huyu mzee sasa sitaki yeye ajue. uko tayari nikung'ate sikio ila usimwambie mtu?

ning'ate sikio DEMBA, kifua ninacho kila siku naenda gym. haya nakusikilizia
 
ning'ate sikio DEMBA, kifua ninacho kila siku naenda gym. haya nakusikilizia
mjini hapa sijaja kushangaa magorofa atii. nampeti peti si unajua tena jua ndo linazama hivyo na pensheni yake ndo hiyo iko mlangoni? sasa ndo hiyo inayoniweka kwa huyu mzee. kijana hadi astaafu ni leo? nasubiri boom la pensheni babu wee. plizi nitunzie sirii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…