Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Nimefurahi umekombolewa...
Ukila na kipofu usimshike mkono...ohoooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahi umekombolewa...
Ukila na kipofu usimshike mkono...ohoooo
kweli kabisa nakupenda bure...
Uwiiiiii!! Hebu tuondoke mama, kumbe tumechanganya madesa!!
Ha haa natamani ufunguliwe macho uone niko na na nani hapa
Nipo swthrt..! Hata mimi nakupenda ujuwe!!
Uwiiiiiii!! We mwanaume wewe jamani!!
hahahaaaa Mme wangu humuwezi kafunikwa na nguvu ya Mungu watu kama nyie hamuwezi kumgusa utabadilika jiwe ishaandikwa huyu ni wangu....
Bora akudanganyedanganye tu,akikwambia ukweli utaumia
unalo bibi weee wangu humpati ng'oooo....
Sasa nimpate mara ngapi? Tehe
Mara zero bibi weee....