Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Kuna Muhaya mmoja humu nampenda sana
 
Kuna wanawake wana busara humu ndani mpaka unatamani kuongeza Mke wa pili... Sasa sijui wako hivyo au vipi
 
Kuna wanawake wana busara humu ndani mpaka unatamani kuongeza Mke wa pili... Sasa sijui wako hivyo au vipi
Hahaha[emoji1] [emoji2] [emoji3] ebu jaribu tuone matokeo
 
Back
Top Bottom