Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

eh! naamini ninayem-fill niliwahi kumtumia hapa PM majibu niliyoypata namshukuru Molla.
 
Huyu dada lara 1 ananivutia mno kuanzia avatar yake,simulizi zake na namna anavyowasilisha mada zake.I like her!

Shemeji huyo mwenzako amemzimia Maxence Melo angalia usije ukala Life and ip ban.
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ni mchanganyiko wa mambo na masuala mengi sana ikiwa ni pamoja na maneno ya kutamka na kuandika, zawadi, na mambo mengine mengi. Kama ndivyo wewe member wa JF ni nani unayehisi kuwa kwa maneno na uandishi wake anaweza kuwa mtu wa karibu kwako na akakupa furaha fulani?

Erotica ndio mrembo wangu kwa mipasho yake
 
Some members here i love them a lot...
and some members here i dont like them at all
very boring and time wasting reading anything they write.........

Mkuu, unakumbuka hii comment yako, anything to add or remove
 
Back
Top Bottom