Unahisi kwanini mwendokasi umeshindwa kutatuta changamoto ya usafiri katika jiji la DAR?

Unahisi kwanini mwendokasi umeshindwa kutatuta changamoto ya usafiri katika jiji la DAR?

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu

====
Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi. Hata hivyo, licha ya uwekezaji huo mkubwa, changamoto bado ni kubwa — magari yanaharibika mara kwa mara, foleni hazijaisha, na adha kwa abiria inaongezeka siku hadi siku.

My take kama kuna mbadala mwingine tufanye kuwek nguvu kwenye daladala zaidi kama tumeshindwa kuendeshe mwendokasi.
 
Wakuu

====
Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi.
Hayo mabasi yamenunuliwa lini mara ya mwisho? Hapo gari nzima hazifiki hata 30
 
Ss serikali ya CCM inaweza kusimamia nini km hata haya mabasi tu wamewashindaa🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom