Unahisi mtu huyu aliweza kuishi baada ya kumaliza karibu kreti ya pepsi

Unahisi mtu huyu aliweza kuishi baada ya kumaliza karibu kreti ya pepsi

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
Screenshot_20260531-154217~2.jpg

Jonee mwenyewe

View: https://youtu.be/WTiIWW6QQ_0?si=SOtRb7rbD0YDPMma
 
Kuna sehemu niliona pia mashindano ya kula, jamaa alipiga chapati 15 hizi za kawaida ambazo mtaani wanauza jero jero, alikuwa anashushia na coca....



Akamaliza yote akapewa liten... wenzie walichemka, hakuna aliyefikia 10, aliyemfuatia alipiga 8
 
Back
Top Bottom