Kaizer ni m'baba mmoja mrefu kiasi na ana mwili wa wastani,anapenda sana familia yake..na kila siku lazima anywe bia
Asprin ni mrefu kiasi lakini kutokana na unene na kitambi chake kikubwa anaaonekana mfupi..anapenda utani sana wa kibazazi lakini kiuhalisia wala si bazazi
sungura1980..ni kijana mtanashati ,mpole na hana majivuno
figganigga huyu ni mrefu na aanapenda sifa
lara 1 ni msichana anaependa kufuata kile moyo wake unataka..hata watu alfu mpinge hatojali
miss neddy ni mtoto wa mwisho na anadeka
Mwanyasi ni mkaka mpole anajiheeshimu,anapenda masihara kiasi,,,ila ukimchokoza cha moto utakiona
Ntuzu anaonekana ni baba wa watoto wawili hivi...na anampenda sana na kumjali mkewe
mwekundu huyu ni mtaratibu..anapenda kampani ya wasichana wembamba warembo sana...halafu ni mtu maarufu maeneo ya kwao
Karucee ni mdada mchangamfu kiasi,anampenda Mungu na anapenda kuijpa raha/kujirusha kiasi
..