MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
hahahahaa jaman nimecheka na avatar yako dahdemi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaa jaman nimecheka na avatar yako dahdemi
Asante Sana Ndugu Kwa Upendosalamu
Unataka Mme?Mhmmmmm
Kwani jamaa hatunaye?Lege RIP broo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila uzi wa kibamia.
Yaani hadi cha Le Mutuz nilifikiri cha kwangu mpaka nilivyoona mashati mlangoni
Lege RIP broo
Nshakukumbuka mkuunilishakutana na members watano humu, tukawekeana terms n conditions tusitajane and that' s how bright peoples do
Alikufa kitambo sana mwajf huyuLege RIP broo
Maxence MelloUnaweza kuona uzi hapa JF mpaka ukahisi umeandikiwa wewe au huyo aliyeandika utakuwa unamjua, ni nani huyo au uzi gani funguka mwana JF tuburudike hapa, mimi wangu utakuja soon.
Sihisi ila namjua
Maxence Melo
Mike Mushi
Shunie
Nyani Ngabu
Don Clericuzio
Raynavero
audacious
wambeke
SHAMMA
Inna
Phenomenal woman
Niliowasahau wanajijua lakini
Makaburi haya yana faida kwetu bana.Yaani badala ya kulala unatafuta thread za kufufua.
Unanikana wazi wazi ee....Hakuna hata ninayemjua anayependa nijue anipm nirud kucoment
Nakusalimia pia my wanguWengi tu nawajua nakuwafahamu both kwa sura majina na mambo mengine
Nawasalimia wapendwa wangu[emoji28]