Unahisi nani unamjua kwa sura hapa JF?

Unahisi nani unamjua kwa sura hapa JF?

Kuna mmoja kwenye nilimjua nilipopanda mwendo kasi yeye akawa amekaa kwenye siti na mm nimesimama sasa kwa bahati mbaya kutupia macho kwenye simu nikakuta anareply baada ya kuisend tuu ndipo nikaona jina lake [emoji275] ... kumbe fulan ndo huyu .... pia hua namkuta mara nyingi kwenye kituo changu kwan nipaposhuka nae hushuka hapo .
 
Back
Top Bottom