Unahisi nani unamjua kwa sura hapa JF?

Unahisi nani unamjua kwa sura hapa JF?

Unaweza kuona uzi hapa JF mpaka ukahisi umeandikiwa wewe au huyo aliyeandika utakuwa unamjua, ni nani huyo au uzi gani funguka mwana JF tuburudike hapa, mimi wangu utakuja soon.
Maxence Melo nilikutana nae siku moja kiunga kimoja nikampa hi, "Niaje Mkurugenzi"
sijui kama alijua namaanisha Mkurugenzi wa JF au alijua tu yale majina ya Ki-Daslaam Mkuu, Kiongozi, Askari,
Tajiri.........
 
Maxence Melo nilikutana nae siku moja kiunga kimoja nikampa hi, "Niaje Mkurugenzi"
sijui kama alijua namaanisha Mkurgnziwa JF au alijua tu yale majina ya Ki-Daslaam Mkuu, Kiongozi, Askari,
Tajiri.........
Yuko Humble sana.
Nilikutana nae Masaki restaurant fulani hivi uzalendo ukajishinda nikamsalimu na kumwambia habari kidogo juu ya jf lakini sikumwambia ID yangu humu😊😊

Kwa umaarufu aliokuwa nao alikuwa ana uwezo hata wakutoitika salamu yangu lakini chakushangaza alikuwa mnyenyekevu mno.

😊😊
 
Kwa umaarufu aliokuwa nao alikuwa ana uwezo hata wakutoitika salamu yangu lakini chakushangaza alikuwa mnyenyekevu mno
Hustlers wengi wa kweli wapo hivyo........ukute sasa wale wamezaliwa wakakuta mali nyumbani mweee!
 
Back
Top Bottom