Mama yetu mpendwa, kama utapitia huu uzi usisahau kupita kwenye hii reply. Wana jf wote kwa pamoja tunakupenda sana na kukuheshimu vikali. Sio sisi tu, hata guests wote wanakuheshimu. Sio tu hao, bali watanzania wote kwa ujumla. Tunakuombea maisha marefu yenye baraka. Tutakuwa nawe hata kwenye kipindi chako cha awamu ya pili ya utawala wako, malkia