Unahitaji Hizi Documents Sita (6) ili Kusajili Kampuni yako TRA

Unahitaji Hizi Documents Sita (6) ili Kusajili Kampuni yako TRA

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Habari mjasiriamali,
Kwema thread iliyopota niliongelea namna ya kujisajili Brela, kwenye thread hii nitaelezea documents 6 unazohitaji ili Kuisajili Kampuni Yako TRA baada ya kumalizana na BRELA.

1. Copy ya TIN certificates za directors
Utatakiwa kuwasilisha printed copies za TIN directors wote.

2. MEMARTS hii ni katiba ya Kampuni, ni ileile uliyotumia wakati wa kuomba usajili Brela.
Itatumika kujua capital, na taarifa zingine muhimu za Kampuni.

3. Leese agreement/Title deed
Utahitaji mkataba wa upangishaji wa ofisi ili kuonesha location ya ofisi au kama una miliki jengo unalofanyia biashara basi Title deed.

4. Certificate of incorporation
Hii ni Ile certificate uliyopewa Brela baada ya usajili wa Kampuni kukamilika.

5. Copy ya vitambulisho vya NIDA
Utatakiwa kuwasilisha printed copies za vitambulisho vya NIDA vya directors wote.

6. Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa

I hope this helps,

Hey naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe Kusajili Kampuni zao Brela, TRA na kupata leseni.

Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni, jina la biashara leseni au TIN unaweza kunitumia ujumbe Whatsapp kupitia namba hizi

0678131068

Your Favorite lawyer.
 
Back
Top Bottom