Unahitaji kiasi gani cha pesa kuweza kuishi miaka 10 bila kufanya kazi ya kuingiza kipato?

Unahitaji kiasi gani cha pesa kuweza kuishi miaka 10 bila kufanya kazi ya kuingiza kipato?

Jugado

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2021
Posts
1,446
Reaction score
3,184
Miaka kumi ina miezi 120!

Say: 3,000,000×120?

= 360,000,000
 
Miaka 10 ×8(kadirio la Miaka ya kuishi) =Miaka 80= Miaka 10 mara 8

So 360,000,000×8=2,880,000,000Tsh Kwa Miaka 80 inahitajika
 
Sijawahi kufikiria zaidi ya kesho yangu au mwisho wa mwezi naamini nakufa muda wowote ila siku zote nahakikisha kila mwezi ndani sikosi kilo 20 za mchel, 10 za donna , mtungi wa gesi upo full na matunda haziishi kwenye fridge, nilichogundua kila ukipata pesa nyingi matatizo ya afya ndio huzidi kuongezeka. Siku moja utaelewa hii kitu ukipata pesa na hakuna tajiri atakuambia hiki kitu.
 
Back
Top Bottom