Sijawahi kufikiria zaidi ya kesho yangu au mwisho wa mwezi naamini nakufa muda wowote ila siku zote nahakikisha kila mwezi ndani sikosi kilo 20 za mchel, 10 za donna , mtungi wa gesi upo full na matunda haziishi kwenye fridge, nilichogundua kila ukipata pesa nyingi matatizo ya afya ndio huzidi kuongezeka. Siku moja utaelewa hii kitu ukipata pesa na hakuna tajiri atakuambia hiki kitu.