Unahitaji mfumo wa kisasa kwa kampuni au organization yako?

Unahitaji mfumo wa kisasa kwa kampuni au organization yako?

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
597
Reaction score
792
Peculiar Enterprises Ltd tunabuni na kutengeneza mifumo ya kisasa kwa biashara, kampuni, taasisi na organizations za aina zote.

Huduma zetu ni pamoja na:

✅ Corporate & Company Management Systems
✅ Project Management Systems
✅ Financial & Business Management Systems
✅ Websites za kampuni na organizations
✅ Mobile Applications (Android & iOS)
✅ Hybrid Apps
✅ Custom Systems kulingana na mahitaji yako
✅ API Integrations & Automation
✅ POS & Digital Payment Solutions

Tunasaidia organizations na biashara kwenda kidigitali kwa mifumo salama, yenye kasi na inayorahisisha usimamizi wa shughuli za kila siku.

📍 Tunafanya kazi na startups, SMEs, companies, NGOs, schools, pamoja na taasisi mbalimbali.

Kama una wazo la system, app au website unayotaka kutengeneza, wasiliana nasi. [email protected] au tuma request yako kwa contact form yetu Contact Us — Peculiar Enterprises Company Limited (PEL) na team yetu itawasiliana nawe.
 
Weka bei kwa kila huduma ili kuvutia wateja
Huduma zetu hazina bei moja ya kudumu, kwa sababu kila mfumo hutengenezwa kulingana na mahitaji ya mteja. Bei hubadilika kutegemea ukubwa wa system, features zinazohitajika, na complexity ya system husika. Tunatoa quotation baada ya kufanya uchambuzi wa mahitaji yako.
 
Katika soko hili la ushindani, inawezekana msipate wateja wengi, jaribu kuweka bei elekezi, mfano: website & Apps inaanzia labda 300,000+ kutegemeana na idadi ya kurasa n.k Hii kutokuweka bei elekezi, inapelekea mteja kufikiria mahesabu ya mamilioni kichwani na kutokufanya maamuzi.​
 
Back
Top Bottom