Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k

Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
363
Reaction score
335
Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k. Kuna mifumo miwili mmoja wa kompyuta unawekewa unatunza kumbukumbu humo humo na kuna mfumo mwingine unatunza taarifa kwenye seva ambapo taarifa unaweza weka kwa njia ya mtandao yaani simu au kompyuta na kuzipata taarifa popote ulipo inabidi kulipia gharama za seva kwa mwaka mmoja inafika 160,000 Tsh unapewa tovuti jina tunasajiri. Gharama ya mfumo wa kwanza ni 400,000 Tsh na mfumo wa pili gharama ni 500,000 Tsh.

Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi.
Mawasiliano: 0756704145
 
SIzani kama kuna zaidi ya Gavana kwa sasa server unakuwa kwenye computer yako na unaweza kuhamisha data na kuweka kwenye Computer nyingine na mambo yakaendelea vizuri nalipa 8000 kwa mwezi hiyo unayoisemea ni sawa na 33,333 to 41,666 na hiyo 160,000 juu wakati Gavana kwa mwaka ni 96,000 anyaway

Fanyia review Gavana ni wanakupa offer ya bure ya wiki moja download Gavana
 
Back
Top Bottom