Unahitaji nguvu ya ziada kuishinda tamaa ya mapenzi;Kuna nguvu nyingine itakuelekeza huko ili uhangamie na kuwa masikini, ni ngumu kuipinga

unaweza kushinda vyote hivyo na ukawa masikini wa kutupwa
 
Mzee wangu hii kitu imenipiga na kitu kizito naelewa unachoongea lakini kuna wakati mwingine nilikuwa naishinda kabisa.

Napanga hela ya Kula pombe na maendeleo.Hii ya maendelo huwa natimiza kabisa alafu Sasa naenda Kula Bata.

Wakati mwingine nilikuwa napiga zote Yani nakula Bata na maendelo nikirudi nyumbani Sina demu Sina hela zaidi ya kuanza kujilaumu Tu ninapojiangalia kwenye kioo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…