Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Master of the game

Naomba kuuliza, naweza kutengenezewa system (njia) ya Ufunguo mpya.

Nataka kubadili kabisa aina ya funguo za gari aina ya RUNX

Funguo zilikuwa mbili, moja haionekani, hivyo nataka kubadili mfumo wa funguo ili zipatikane aina mpya za funguo
 
Nahitaji plugs pamoja na brake za VW GOLF TOURAN...unazo?kama unazo bei gan
 
Siku hizi Petrol station ukijaza wese ule mfuniko wa ndani wa tank la mafuta wanaiba.
Nimepigwa somewhere,natafuta wa kununua wa Vitz.
Unaibiwaje hicho kizibo na wewe acha kuendekeza uzembe wa kitoto.

Hicho kizibo wakati wa kufunga huwa kuna ukelele kinatoa kikishalock kwenye tank.
Sasa wewe mtu ameweka mafuta anafunga kimlango cha tank haujasikia mlio wa kizibo kikilock unakuwa ni mzembe sana......
 
Transimision ya Volvo xC90 unaYo ?
 
Mkuu una tyre cover ya nyuma ya rav 4 na taa ya nyuma kushoto. Kama unavyo bei gani?
 
Nahitaji gearbix ya harrier old model
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…